Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wana jamvi,kuna demu alikua mwanafunzi wangu wa chuo mwaka jana nlidate nae sana ila wivu ukazidi nikaamua kumpiga chini akaanza matusi ya hapa na pale sikumjibu sasa juzi kanitafuta na kuomba samahani sana eti kanimiss sana hasa ninavyomkunja na kumsugua kitandani anataka turudiane na anaomba nimsamehe sasa nawaza nimsamehe au niendeleze ukauzu asije kuwa kaja kuniroga