Some of pre-relationship problems zinasababishwa na watu kutaka wenza ambao ni above their league.

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,631
Hellow guys

Life limenifundisha vitu viwili, moja ni ku-stay in my financial lane as well as in my dating lane

Mwanaume utakuta sio handsome, maybe kwenye scale ya uhandsome yeye ana-rank 4/10, half anamtaka mdada mrembo sana ambae kwenye scale ya uzuri ana-rank 8/10 hlf mwanaume hana hata mpunga mwingi wa ku-back up ugliness yake hapo lazma shida iwepo, demu mzur ata-date na a man aliye na sura mbaya only when she can't find anything better, akipata smthing better sura nyani anapigwa nje

Mdada utakuta level zake ni ku-date na wanaume wa tandale, lkn utakuta ana aim high class men wakati she has almost nothing to put on the table for eg. beauty, career, business, little bit of fame, connections etc hapo lazma shida iwepo

Ninachotaka kusema ni kwamba huwezi kumiliki BMW wakati uwezo wako ni wa kumiliki vitz the same thing applies in relationships coz relationships and business has many things in common.

Mm personally handsomeness level yangu ni 5/10, so sijihangahishi na mademu wa kutaftia sifa mtaani, mm na-date na demu ambae naona she feels lucky to have me, as long as napata s** na almost stress free relationship maisha yanaenda.

Finally unaweza kuoana na mwenza wa ndoto yako, I mean you both extremely love each other at the same rate..kama una love luck, au unaweza olewa/oa na tajiri/king au a very beautiful/very handsome partner of ur dreams but it rarely happens..

Samahani kwa niliowakwaza....
 
mkuu..!
mbona kama mada yako imebase upande mmoja..
Unazungumzia sana mtazamo wako kuliko mwenza wako.. yaani, wewe utampata ambae unaona appearance scale-rate yenu inaendana, sawa, lakini vipi kuhusu mwenza wako, na yeye anamtazamo huo huo? anakuona upo kwenye scale of her dream? unajuaje kuwa hatamtamani aliyeHandsome kuliko wewe.. maana uzuri wa sura ya mtu unategemeana na mtazamaji mwenyewe, wewe unajirate kwenye scale ya 5/10 lakini mwenza wako akakurate 3/10

Mi nadhani tujali sana Compabilities, Qualities, Mindsets, Interests, Hata pia kuna vigezo ambavyo hupuuzwa lakini vina impact sana kama tofauti za kiimani, age gaps..!

Mionekano wa nje huwa ni vigezo vya muda mfupi tu! Leo utamuona handsome/beautiful, kesho linatokea la kutokea, huo uzuri wote unapotea..

Love Comes From Inside Brother..
 
unatumia kinywaji gani?
 
Ni PM namba yako nkutumie ya nyama choma,
 
Soma post yangu vizur mkuu, mm si-date na mademu wa kutafta sifa, na kama madem nlionao wangeni-rate 3/10 bac wasingenikubalia na kunitreat lyk a king..Na huu msemo wa kuwa looks don't matter naona ni kujidanganya.. pistmshai
 
sawa mkuu..!
ulikuwa ni mtazamo wangu tu..!
 
Kuridhika kwa kile ulichonacho na kutengeneza kile ukiwezacho kunakuepusha na mengi
 
Always good to know where you come short, and equip yourself with some that make up for that. For bros, you could equip yourself with knowledge, style, character, athletism, wisdom, you name it.

Heart throb? never, black and ugly as ever/
However, I stay Coogi down to the socks/
Rings and watch filled with rocks/ .....

Back
Top Bottom