KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,191
Huko Japan mzee mmoja ameishi miaka 20 bila kuongea na mkewe lakini wamekuwa wakiishi pamoja na kushirikiana masuala yote yahusuyo mahusiano ya mume na mke lakini mambo yote hayo yanaenda ki bubu bubu hakuna kuzungumza,
My take : kale kamchezo hakaitajigi hasira mzee makaza mchana usiku anadandia Uda wewe mwana JF unaweza
My take : kale kamchezo hakaitajigi hasira mzee makaza mchana usiku anadandia Uda wewe mwana JF unaweza