Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Mimi ni mwanamke sijawahi kuzaa kutokana na matatizo fulani lakini cha ajabu kila ninapokuwa au niendapo napendwa sana na wajawazito. Utakuta mahali ninapoishi wajawazito wanakuja kuongea nami na hadi wengine kupumzika kutwa. Ofisini kwangu hali ni hiyo hiyo. Nauliza ni kwa nini hali hiyo ipo hivo? Naomba mwenye kuwa na jibu anijibu.