Nahitaji huduma ya massage

Mtotozi

JF-Expert Member
Sep 21, 2016
252
500
Habari za mwaka mpya wakuu..! Nimetoka safarini Mwanza, Mwili wote umechoka na viungo vinauma kwa sababu ya uchovu wa safari. Hivyo nahitaji msichana anayetoa huduma ya massage..!

Mahali nilipo: Mwenge-TRA
Malipo: 50,000 Tshs

Njoo pm tufanye biashara! Karibuni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom