NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Njoooni na vituko vya ma girlfriend na Ma boy friend mliowaacha ,je ni kituko gani ulikutana nacho kwa huyo bwana????mimi wangu mmoja nilimwacha alikuwa akila chakula mpka kinadondoka kutoka mdomon yaani unaweza kusema mdomoni kuna mashine ya kukoboa,,,akila lazima aongee mpka wewe wa pemben chakula kinakurukia,nani anataka aibu akuuuuuu,,,kwani kumuacha shilling ngapi nilimwacha hivi hivi!!!