poa tu, ndio mana nilikua sikuoni pole na majukumu.mambo vipi mrembo shunie,
Heri ya mwaka mpya kwako pia, nilipotea kidogo majukumu yalichukua nafasi.
nikitulia nitaangaliathanks ma sweet, movie umeicheck?
nikuhadisie?nikitulia nitaangalia
hapana nataka kuangalianikuhadisie?
Aisee! Wanabana matumizi?!Wengine hizo mb 500 ndio wanatumia wiki nzima kwa usawa huu wa uncle magu!!!
Hii ni sinema inayoonyesha changamoto zinazowakabiri vijana wetu hasa katika kipindi cha kupevuka.