Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati wa nyuma kidogo natolea mfano wa account yangu ya Facebook yaani nikiandikia watoto wa kike hata salamu tu unakuta haujibiwi na mtu hata wa bahati mbaya. Ila kuanzia wiki ya sikukuu za...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
NAKUKUMBUKA Hazinipiti dakika,saa yendapo kulia mzigo ulonitwika,sina wa kunipokea nyumbani umeondoka,sijachoka kungojea kubwa lililoniuma,kule kukuhudumia kikwona washika tama,karibuyo nasogea...
4 Reactions
3 Replies
992 Views
Habari zenu!!!!! Imezoeleka kwa wanawake wanaojiuza tunawaita Changudoa au Malaya....Wapo wanakaa sehemu special for busness na wengine kwa njia wazijuazo ilimradi wasijulikane kwamba wanatafuta...
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake wengi duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya vifo hivi hutokea katika nchi zinazoendelea. Kwa Tanzania...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Ndugu naomba ushauri., Girl friend wangu alitaka kununua toyota Passo sasa mimi kwa sasa sina mpunga wa kununua gari maana hata mwenyewe bado niko kwenye usafiri wa jumuiya. Sijui kakutana na...
7 Reactions
134 Replies
11K Views
Kuna hali nilikua nahisi kuwa ni kweli, mimi mwenyewe imenipata. Nilizaliwa mtoto wa kwanza wa kiume kwa mama yangu na alipata mimba bila kukusudia. Rafiki wa mama yangu nae akapata mtoto wa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Unakuta tangu utotoni umekuwa ni mtu ambaye hukubaliki katika makundi mbalimbali, kuanzia ndugu zako wa tumbo moja, baadaye, hiyo hali inakukuta ukiwa shule, na hata kazini! Mfano: 1. Bila...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu it's like mchezo wa kufurahisha sana. Ukila utaenjoy sana ukiwa nao wote message zao wakati wa kuchati, wanavyopondana n.k Au uwe umewatembelea muwe mmekaa; Kuku mbele. Yai 1 pale. Yai 2...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
She is Classy & Beautiful,...Ni miaka minne sasa nampenda sana Najma,..sitaki apate shida,.. pamoja na kwamba Mimi ni Mnyakyusa lakini niko radhi ku-apply Mahaba ya kisukuma ili nimlinde...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Heri ya christmass na mwaka mpya wana MMU ....!
0 Reactions
89 Replies
6K Views
[emoji460]FOOTBALL VS SEX. 1. Going to your boyfriend or Girlfriend without being invited = Offside. . 2. Dating a girl today and having sex on the sameday = Free kick. . 3. Condom = Defender. ...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
nothing nothing
7 Reactions
204 Replies
24K Views
Mmekua katika mahusinao kwa takribani mwaka mzima au pengine zaidi, unashindwaje kuelewa hivi vitu: 1. Hana malengo na wewe 2. Anakupenda kwa dhati 3. Wewe ni mchepuko tu. 4. Nipe nikupe. 5. We...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wanajukwaa pendwa la MMU. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika,baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila kumpata mwanamke tunayeendana naye, hatimaye...
3 Reactions
181 Replies
21K Views
Wanajamvi, Heri ya mwaka mpya 2017. Kuna jambo limekuwa likinisumbua sana akilini mwangu. Kwenye suala la mapenzi na ndoa, kuna hili jambo la fumanizi linapotokea kati ya mwanaume na mwanamke na...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikisoma thread mbalimbali zinazoeleza nini mwanamke anataka hasa kutoka eidha kwa mume wake au mpenzi wake kuwa mwanamke anapenda "kusikilizwa" Kwa uelewa wangu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hizi elimu zisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma lakini tunaupendo wa dhati mtuangalie na sisi, sasa mkioana wote mliosoma na sisi tutaoa/kuolewa na kina nani na...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Kwanza nianze kuwatakia heri ya Mwaka Mpya. Mwishoni mwa mwaka jana nilikuja na mada niliyoita Ushauri: Mke wangu anapenda maisha ya matawi ya juu Nashukuru wadau kwa michango yao mazuri...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Ivi kama una girlfriend and only she wants is ur time not ur money..... Just to show how u love and care ni ngumu sana kumuonyesha mpenzi wako.....yani mnaishi kama mnaibia kitu mnapendana bt...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nilibahatika kuwa na mdada mmoja hivi kimahusiano kwa muda kama miezi sita hivi baadae akaja akasema ana MIMBA nikamkubalia vizuri tu. Nikalea mimba kwa uwezo wangu wote kutoka na nature ya kazi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…