MAPOUDA
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 446
- 295
Nilibahatika kuwa na mdada mmoja hivi kimahusiano kwa muda kama miezi sita hivi baadae akaja akasema ana MIMBA nikamkubalia vizuri tu.
Nikalea mimba kwa uwezo wangu wote kutoka na nature ya kazi ya udereva nikasafiri kwenda Kongo kama miezi 9 hivi, niliporudi sikumkuta alishasepa kwao.
Nikafuatilia mpaka nikampa nikampa jina mtoto na nikafanya kasherehe ukweli pale sikuibiwa maana mulemule.
Ila sasa hataki kunipa mtoto na anataka nimsadie akiwa kwao huko huko wakati mimi nataka chata langu nisaidieni wadau nifanyaje?