Hii Post Ya Wavulana Wanaume HatuhusikiWakuu it's like mchezo wa kufurahisha sana.
Ukila utaenjoy sana ukiwa nao wote message zao wakati wa kuchati, wanavyopondana n.k
Au uwe umewatembelea muwe mmekaa;
Kuku mbele.
Yai 1 pale.
Yai 2 pembeni.
Iliwahi kunitokea, Nilikuwa napiga Jimama moja hivi tukadumu kama mwaka hivi. Siku moja likanambia twende kwenye B,day ya mjukuu wake, kidume sipendi dharau kwenye party..
Basi nikanunua mazaga yangu kama zawadi,Kufika Kwa party ilikuwa ni home Kwa binti wa huyo Mmama, Basi Mmama akantambulisha mimi ni Mtoto wa rafiki yake.
Huyo Binti alikuwa kaolewa mumewe mshuwa yaani binti anafugwa.nikamtumia Mama yake kufanya udukuzi, Manake huyo Binti matata ana hips yaani ana wezere mbinuko unaweza weka hata kikombe cha chai kisianguke.
Basi siku ya pili yake nikajifanya naenda kumuulizia Mmama, Kumbe nia yangu anipe namba yake, akanipa kiulaiini sikufanya ajizi, Siku ya tatu nikapiga Show Kali. Penzi haramu lilinoga binti akawa na wivu Hatare e e e.
Baada ya mwezi akajuwa kuwa namkunja yeye na Mama yake, kumbe alikuwa ananipeleleza Kwa Mama yake. Na Mama akawa anaropoka. Alinichukia sana mpaka Leo hataki kuniona. Which is good Mama yake hajajua mpaka Leo. Ilikuwa zamani kuna dhambi zinatokea kama lazima au dharula.