Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 7,804
- 75,717
Kuna hali nilikua nahisi kuwa ni kweli, mimi mwenyewe imenipata.
Nilizaliwa mtoto wa kwanza wa kiume kwa mama yangu na alipata mimba bila kukusudia.
Rafiki wa mama yangu nae akapata mtoto wa kwanza wa kiume bila ya kukusudia.
Mimi nimepata mtoto wa kwanza kiume bila kukusudia na wengine wengi ninaowafahamu.
Sijui uzoefu wako wewe mwana jf. Ushawahi ina au shuhudia hii hali... Watu wengi ambao hawajapanga kupata Mtoto huwa wanapata mtoto wa kiume mara nyingi..?