KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,319
Wakati wa nyuma kidogo natolea mfano wa account yangu ya Facebook
yaani nikiandikia watoto wa kike hata salamu tu unakuta haujibiwi na mtu hata wa bahati mbaya.
Ila kuanzia wiki ya sikukuu za Christmass hadi Leo hii, kila nikiingia Fb nakuta ujumbe hata sita za wadada tu.
Nimeshangaa mmoja nilimwambia mambo January Mwaka jana kajibu Leo asubuhi poa ukowapi mda huu na unafanya nini?
Vipi wengine huko hali ikoje?