Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
3,441
2,000
Ikiwa tumebakiwa na Masaa machache kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017...Mimi Danya kama Member wa Jamii Forum na Mdau mkubwa wa MMU ningependa kutumia nafasi hii kukutakieni kheri ya Mwaka Mpya wana JAMII FORUM Wote Pamoja Na uongozi mzima wa Jamii Forum! Mwaka 2016 unaelekea kuishia ikiwa tumeshuhudia vitu vingi sana lakini napenda kutumia fursa hii kama Member wa MMU Kukupa pole Founder wa Jamiii Forum kwa yote yaliyo kukuta Naamini mwaka unavyo kwenda kuisha basi ni Kiashiria tosha kuonesha nawe Majaribu unayoyapitia yanakwenda kuisha

Kwa mwana MMU yeyote yule amini kuwa Majaribu uliyoyapitia kwa mwaka 2016 haina maana ya kuwa wewe ni mtenda Dhambi sana,hata watumishi wa Mungu enzi zile nao walijaribiwaa....piga moyo konde na aamini kuwa mwaka 2017 utakuwa mwaka wa Mambo mazuri kwako kama ukiweka mbele kile unachokiamini na Kumtanguliza Mungu!

Si mbaya kama Tukitakiana kheri ya mwaka Mpya kwa wna JF wote! Mtaje Member wa Jamii Forum na MMU ambaye ungependa kumtakia Kheri ya mwaka Mpya na ungependa kumuona TENA mwaka 2017 kwa kasi ile ile

Mimi Nawatakieni kheri ya mwaka mpya wote na ningependa kuwaona tena 2017


MAY GOD BLESS YOU ALL!
 

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
16,493
2,000
Happy new year in advance to
Valentina
Evelyn Salt
Miss (Chagga+Natafuta)
Geniveros
Me too
Monnicca
Honey Faith
Heaven sent
Heaven on earth
RRONDO
Otorong'ongo
Ustadhijuma
mwekundu
Sky eclat
Tamuuuu
Dume suruali
Computer virus
Ambiele kiviele
Monicer
Tozi25
Busy bees
T 1990 ElY
Atoto
Jje's
Behaviorist
STUNTER
Paulo Sergio De Souz
Nyani Ngabu
Mshana Jr
The Boss
Nifah
Dinnazarde
The bold
KENZY
Chief Engineer
Raimundo
Wambeke
tang'ana
Yeezus(HR 666)
Compact
Shunie
Scopio me
Nokia83
nigga nan sjui
MO11
ndege JOHN
Supermarket
Warumi
Hance Mtanashati*
Mr Natafuta
Azarel
Detective j
danya

Bila kusahau hawa watu(special)
Amanda cute
Wakuswampa
Richaabra
rayyoungr
 

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
3,441
2,000
Happy new year in advance to
Valentina
Evelyn Salt
Miss (Chagga+Natafuta)
Geniveros
Me too
Monnicca
Honey Faith
Heaven sent
Heaven on earth
PRONDO
Otorong'ongo
Ustadhijuma
mwekundu
Sky eclat
Tamuuuu
Dume suruali
Computer virus
Ambiele kiviele
Monicer
Tozi25
Busy bees
T 1990 ElY
Atoto
Jje's
Behaviorist
STUNTER
Paulo Sergio De Souz
Nyani Ngabu
Mshana Jr
The Boss
Nifah
Dinnazarde
The bold
KENZY
Chief Engineer
Raimundo
Wambeke
tang'ana
Yeezus(HR 666)
Compact
Shunie
Scopio me
Nokia83
nigga nan sjui
MO11
ndege JOHN
Supermarket
Warumi
Hance Mtanashati*
Mr Natafuta
Azarel
Detective j
danya

Bila kusahau hawa watu(special)
Amanda cute
Wakuswampa
Richaabra
rayyoungr
Umetishaaaaaaaaa na Uko vizuri
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,668
2,000
Naww pia mkuu...mm kuhakikisha nauona mwaka 2017 leo nmeamua kutotoka ndani labda hii nyumba iniangukie mpk ikifika sa 6 ucku ndio ntatoka
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,547
2,000
...mm kuhakikisha nauona mwaka 2017 leo nmeamua kutotoka ndani labda hii nyumba iniangukie mpk ikifika sa 6 ucku ndio ntatoka

Ok poa kabla haujajihakikishia kua utauona mwaka hebu kasikilize wimbo wa Msondo unaitwa Huruma kwa Wagonjwa ila ni maarufu kwa jina la Nani Kauona Mwaka
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,756
2,000

mamaafacebook II

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,458
2,000
kituko ni noma sana, yani kijana ameshapindua kambi ushemeji kapiga teke kule sasa nimeelewa,maana sio kwa ukaribu huo kumbe ile shemeji ni geresha napigia saluti, nawatakia heri ya mwaka mpya wazee wa chini chini
chinichini hii vipi????? Me nachotambua yeye n shemeji yangu na hatuzimi taa huo n waswas wako tu unatuwazia vibaya
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,756
2,000
Naww pia mkuu...mm kuhakikisha nauona mwaka 2017 leo nmeamua kutotoka ndani labda hii nyumba iniangukie mpk ikifika sa 6 ucku ndio ntatoka
life can be taken time yoyote, mahala popote ONLY TIME will tell, so usiwe na mawazo potofu kuwa mtu ukikaa ndani you will be in safe side, muda ukifaka my friend there is nothing you can do about it
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom