Biobenga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 394
- 533
Mmekua katika mahusinao kwa takribani mwaka mzima au pengine zaidi, unashindwaje kuelewa hivi vitu:
1. Hana malengo na wewe
2. Anakupenda kwa dhati
3. Wewe ni mchepuko tu.
4. Nipe nikupe.
5. We njia kuu lakini michepuko anayo.
6. Wewe ndo mchepuko
7. Wewe wa kumhudumia tu, anapendwa mwingine.
8. Akiboreka ndo unakumbukwa.
9. Wewe wa kugegedana tu, labda upo vizuri hapo.
10. Anakutumia tu, tena mpaka familia anayo. n.k
Je, ni kwamba umependa sana na kumuamini. Au ye mjanja sana katika kuficha makucha. Au labda unajua lakini ufanyeje tena, kwa sababu zako mwenywe umeng'ang'ania.
Tuambie, unadhani mwenzako anahitaji nini katika mahusino au mahusiano yenu yana muelekeo gani?
X wako alikuwaje?