Kumsikiliza mwanamke ni kutekeleza anachosema

kinehe

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
205
198
Habari wana JF,

Nimekuwa nikisoma thread mbalimbali zinazoeleza nini mwanamke anataka hasa kutoka eidha kwa mume wake au mpenzi wake kuwa mwanamke anapenda "kusikilizwa"

Kwa uelewa wangu hawamanishi kutega masikio nakuwa attention kusikilza wanachosema bali ni KUTEKELEZA WANACHOSEMA mfano akikwambia "baby" hizi nywele zimechakaa hapo anamanisha umpe hela aende saluni, sweet sina viatu- umpe hela akanunue, yangu ni hayo tu.

Karibuni tushee xperience.
 
mwanamke anapenda "kusikilizwa"

KUTEKELEZA WANACHOSEMA mfano akikwambia "baby" hizi nywele zimechakaa hapo anamanisha umpe hela aende saluni, sweet sina viatu- umpe hela akanunue, yangu ni hayo tu.
Sio Kusikilizwa, Sema mnatakiwa kusikilizana, kiasi kwamba akikuomba hela na ukasema hauna, akusubiri hadi utakapoipata akuelewe.
 
Back
Top Bottom