Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
Ivi kama una girlfriend and only she wants is ur time not ur money..... Just to show how u love and care ni ngumu sana kumuonyesha mpenzi wako.....yani mnaishi kama mnaibia kitu mnapendana bt upendo unaonyesha upande mmoja kutoka kwa msichana......though unajua unapendwa kwa ku assume bt vitendo ni hafifu....au in short way unaweza kuwa busy kiasi cha kukosa muda wa kumpigia mpenzi wako au kumtext na kumwambia meneno mazur ya kuonyesha jinsi gan unapenda????
unavyompenda?....kwa mlio macho naombe comment zenu nimekosa usingiz kabisaaa
unavyompenda?....kwa mlio macho naombe comment zenu nimekosa usingiz kabisaaa