Tunawaitaje wanaume wanaojiuza kwa wanawake?

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,202
28,709
Habari zenu!!!!!
Imezoeleka kwa wanawake wanaojiuza tunawaita Changudoa au Malaya....Wapo wanakaa sehemu special for busness na wengine kwa njia wazijuazo ilimradi wasijulikane kwamba wanatafuta pesa kwa njia hiyo.

Sasa kubwa ni kwa hawa wakaka wanaojiuza kwa wanawake kama ajira yao ya kuwaingizia kipato......Nadhan si jambo geni kwetu....Nataka jimama la kunilea na wanalelewa kweli,nina ub*o mkubwa..Zote promo nk
Tunawaitaje hawa wanaume mijiuzooo
 
Back
Top Bottom