ndusyepo
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 165
- 41
Jamani hizi elimu zisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma lakini tunaupendo wa dhati mtuangalie na sisi, sasa mkioana wote mliosoma na sisi tutaoa/kuolewa na kina nani na upende usipende ambao hatujasoma sana ndo tunajua kupenda na kujali vibaya mno.