Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking ''i wish i...
Habari za Leo wana JF ni muda mrefu umepita sijaandika hapa.
Katika harakati za maisha nimekuja kukutana na binti mrembo sana na ninampenda mno.
Changamoto niliyonayo ni kwamba wakati tunafanya...
Penzi huwa halidondoki na kufa ghafla kama mgonjwa wa degedege na beriberi, penzi huwa linakufa kwa process zinazoonekana lakini zinazodharaulika. Dalili za penzi linalotaka kufa huwa ni kama...
MAANA YA BAADHI YA MANENO AMBAYO WANAWAKE HUTUMIA.
1. Sawa bwana (fine)
"Sawa" ni neno ambalo hutumiwa na wanawake kumaliza mabishano na mpenzi wake. Wakisema hivyo ujue wanahitaji mwanaume...
Kwanza kabisa salamu kwenu nyote.
Poleni na mihangaiko na kaz pia.Binafs ni kijana wa kiume mwnye umri wa miaka 28.Pia nimeajiriwa katika kampun xx hapa mbeya mjin na namshukuru mungu nina mtoto...
Salaam,
Kwanza niseme kuwa hili ni jiwe la gizani, na yeyote litakayemtwanga atulie kimya.
Kipindi cha nyuma kidogo kulikuwa na harakati nyingi sana za kuwasema na kuwakebehi akina mama mkwe...
Eti watu wakiwa na dhiki, shida matatizo na mahame huwa wanazaa watoto wa kike?
Kama kuna ukweli hii inatokana na nini?
Huu ni msemo wa mzee wangu je una ukweli?
1.lnbox empty hata sms za voda hana
2.Kama mko karibu na anachati hutumia jicho la wizi kukutazama
3.Akiwa anachati utamuona anakuuliza vimaswali vya hapa na pale lengo ni kuathiri utafiti wako...
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu? Unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi.
Mkienda kupiga show...
..................................................
Upendo ni neno la kawaida sana kutumika vinywani mwetu katika maisha ya kila siku. Neno upendo lina maana kubwa sana pengine ni tofauti kabisa na...
Kuna watu wanapata tabu jamani kwenye relation zao
Daah, inanisikitisha sana
Wewe kama umebahatika kupata mtu mstaarab
Anakuheshim,anakupenda na kukuthamini, inabidi
Urudishe izo fadhira kwake...
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya...
Basi naiwe amani na furaha wana-JF wenzangu,
Andiko hili liwe hekima kwa wenye hekima, nuru kwa waliovipofu na liwe ukungu kwa wapumbavu, watu wasiojua umuhimu wao wenyewe.
Basi umshukuru Mungu...
Mchumba wangu wa kike anauza duka maeneo flani hapa mjini.
Ni wiki mbili tu tangu nilipomtambulisha kwa wazazi.
Jana saa saba na dakika 10 mchana nikamtumia meseji ya kawaida, hakujibu.
Ilipofika...
Nilikuwa na soma huko tumaini nilipata demu mzuri kiasi ila kiumbo alikuwa poa.
nikasema sio vibaya mi kujikinga na katoto ka landlord nikakatokea hakakukubali bali kaliniambia tendwe hivyo hivyo...
Habari wadau,
Nina urafiki na binti mmoja yapata mda sasa na tunashirikiana vitu vyote vya kimapenzi lakini inapofikia swala la kufanya mapenzi anaruka hatari.
Nilishaamua mpaka kutembea na...
Hello,
I'm looking for a woman who isn't all about games and at-least has something going for herself. Someone who is respectful, has morals and values, someone that just basically is...