Wanaume hii ikoje?

Wanaume hii ikoje?

Infopaedia

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
1,234
Reaction score
1,503
Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking ''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature).

Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.

Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yangu au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri au shemeji yenu kanitengeneza.

Kwa sababu kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.
 
inakua sizitaki mbivu hizi

Hamna mkuu......unafikiri hata kumtokea nimemtokea basi!!!. Ningemtokea akanipiga chini ndiyo tungesema hivyo. Ila nikimuangalia tu, namuona siyo mrembo kama nilivyokuwa naona. Labda macho yangu kwenye long range yana matatizo aisee.
 
Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking....''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature). Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee!!! hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.
Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yanguuu... au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri...au shemeji yenu kanitengeneza. Coz kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.
Una tatizo la kijnsia!
 
Magnetic power tend to be very strong at distant other than being at zero distance!!!

~Physics may b tehteh
 
Ushauri wangu kwako kijana mwenzangu ni kuwa unatakiwa umpende mkeo, umthamini mkeo ,umjali mkeo na umheshimu mkeo...amini kuwa ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani..na ndio maana ukamchagua yeye kati ya mamilioni ya warembo na ukaamua kumuweka ndani kwa upendo uliotukuka huku ukiahidi kuwa nae katika shida na raha...mkeo ndio mwanamke pekee duniani anayejua aibu zako na karaha zako lakini kwa upendo alionao kwako ameamua kuyavumilia yote hayo na kwa kuwa aliahidi kuwa nawe mpaka kifo kiwatenganishe.....jitahidi kwa kila hali kuyashinda majaribu...
 
Hujatengenezwa nafikiri nafsi yako huwa inakusuta unapofikiria kumsaliti mwenza wako akili inakataa ndipo hali hiyo inapokujia
 
Ujiahamini ndiyo maana. Ku ghahiri ni tabia ya kukata tamaa na kutojiamini ni pamoja na kusema nitamwambia nini, atanikubali kweli, nitampa nini kama akisema ndiyo, lakini hata hivyo siyo mzuri.
 
kwanza badilisha avatar, mwanaume avatar ya kike... jina lenyewe mtu hawezi jua ni me au ke...
 
Tulia na mkeo kijana, tamaa mbaya. Mungu anakupenda ndiyo maana anakuepusha na balaa hizo kwa kuondoa mvuto kati yenu.
Usiombee kuanzisha mahusiano kazini ni mbaya unaweza kuharibu kazi ya watu kwa kila siku migogoro ya uhusiano. Angalia sana.
 
Back
Top Bottom