Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Imagine umetokea mwisho wa dunia hii tunayoishi sasa! Wote tumeondoka na kujikuta tumezaliwa upya katika dunia mpya ambayo hatua za kukua ni kama ilivyokuwa kwenye dunia ya awali (mtoto, kijana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wapendwa, Leo shost alikuja ofisini leo kunitakia kheri ya mwaka mpya, huyu ni shost wa nursery school na tulianza primary pamoja kabla ya wazazi wake kuhamia mkoani bai...
7 Reactions
101 Replies
7K Views
Wadau Nahitaji mchumba wa kike aliyetayari kuishi maisha ya ndoa mida mfupi baada ya kujuana (angalau miezi miwili ya kujuana). kikubwa awe na maadili ya kiislamu, umri angalau isizidi miaka 24...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Wana jf, Natafuta marafiki( male and female) wa kushare nao ideas za kimaisha especially mambo ya kimaendeleo, Mm ni msichana (25yrs) Elimu yangu bachelor degree Mjasiriamali Naamin...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilichokisikia leo sijakiamini kabisa, kwanza napenda niwajulishe tu kwamba hii ni handle yangu nyingine kwa sababu handle yangu inajulikana na marafiki zangu wawili watatu hivyo kwa namna moja au...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Binti leo hii unasema nahitaji mwanaume mwenye hofu ya MUNGU embu jitazame kwanza, kumbuka safari yako afu ujiulize umepata wapi hiyo confidence ya kusema unataka kuwa na mwanaume mwenye hofu ya...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Yaweza kuwa darasa moja au shule moja, kiukweli ninawaona wengi sana wapo kwenye mahusiano angali wanasoma, je inawezekana wakaweza kuoana hapo baadae?
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Mfano ;- wewe umempenda mwanamke ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali...
17 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka2016 na kuanza mwaka2017 nimeona si vibaya nikaleta list yangu ya madada bora kabisa hapa JF ambao kwa kiasi kikubwa michango yao kwenye thread...
15 Reactions
504 Replies
28K Views
Nikiri TU kwa wale walioa au tulioa tuna mtihani mkubwa hata kama sisi WANAUME tukikataa ila baadhi YETU tunakiona cha mtema kuni Leo nimetukanwa mpaka nikawa nacheka badala ya kuhuzunika...
31 Reactions
232 Replies
23K Views
Nauliza kuna chang'amoto gani kuwa na mwanaume ambaye tayari alisha zaa before kukutana na ww?......
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanajf nimetoka kazini nimefika nyumbani nimekuta funguo imeegeshwa mlangoni na watoto Dada kazi wameondoka,tulikuwa na mgogoro na kabla hili nlimwambia maono yetu yamekufa na haijalishi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanaume wanapenda vitu gani? Ufanyeje ili umshike sawa sawa? Maswali kama haya huulizwa na karibu wanawake wote wanaotamani kuwa na uhusiano wa kudumu na wanaume. Ingawa zipo tofauti ndogo ndogo...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari jamani Unafaham watu wengi tunagongewa kwasababu hatuwafikishi wapenzi, wake zetu. Namaanisha mara nyingi mapenz yanapoanza ndo huwa yanakua moto moto. Unampa penzi mpenzi wako hadi yeye...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu hili lina ukweli wenye wanawake wafupi mtupe experience kunani huko labda wenye vibamia likawa kimbilio lao....!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nimesikia eti mwanamke anaponenepa na kina chake kwenye uke huwa kinakuwa kidogo na wanawake wembamba huwa wanakuwa na kina kirefu, Je ni kweli au walinidanganya?
4 Reactions
54 Replies
13K Views
Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wasalamu wana wa jukwaa! Kuna mambo yamenitokea na kunishangaza kidogo kuhusu hawa wenzetu wanawake. Nilipokuwa single nilihangaika vibaya mno ili nami nipate manzi nisipate wakunitaka...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari za siku, Hii tabia naishangaa sana, unakuta umealikwa kwenye sherehe uko na mwandani wako sasa katika kubadilishana mawazo mtu anaropoka naomba namba yako. Huwa najiuliza inakuwaje...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimeumia sana jana nikiwa safarini niko kwenye basi akapanda mate wangu wa UDSM. Nilisikia furaha sana tangu 2000, baada ya kupanda tulianza akuulizana familia inaendeleaje. Nilishtuka sana baada...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…