Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima zenu wakuu.... Hapa jukwaani kila uchao kwa asilimia kubwa ya thread zinazoanzishwa na wanawake ni za malalamiko na za kutaka ushauri juu ya ndoa zao.Wanawake hamjajiuliza kwann ndoa huwa...
1 Reactions
15 Replies
10K Views
Donald and Melania Trump dance at the inaugural ball in Washington after the new president signed his first orders at the White House. Photograph: Michael Reynolds/EPA
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Heri ya mwaka mpya wana MMU Leo nimeona niongelee hii tabia ya baadhi ya wanawake kunyanya au kuwatesa watoto wa waume zao wa waliozaa nje,wametengana wazazi au wazazi wamefariki wao wakaolewa...
21 Reactions
171 Replies
10K Views
ABOUT FAITH →Understand so that you can believe →Believe so that you can understand
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau bila shaka mko poa,, kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,, Nilikua na tabia mbaya sana kwa marafiki zangu bila kujali maumivu wanayopata moyoni ,,, rafiki akinitambulisha...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi there, Pls take it from me and have a good luck. 1. Success is not sexually transmitted, so stop sleeping with successful men and work hard. 2. Please do not wear the same weave for nine...
24 Reactions
41 Replies
4K Views
*Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Nawasalimu wanajamii, Nina miaka zaidi ya 20 nipo chuoni hapa Dar mwaka wa kwanza. hadi ninapoandika haya najiona nipo single kwa maana kwamba hakuna msichana ninayemregard kama girlfriend...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
BY DAYAN MASINDE Pride and ego is often seen as a negative; but in the right place and in the right amount, pride is actually a good thing. 1. Pride is what makes a man work hard and...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu, hata ungekua umemkosea nini, ukijishusha ukanyenyekea analainika labda awe na mapepo ndio unyenyekevu wako hautagusa moyo wake. Mume ama mpenz...
23 Reactions
114 Replies
19K Views
Habari za sasa hivi wakuu, Napenda kuchukua nafasi hii kuwasihi wanaume waache tabia za kuwalaghai mabinti angali bado wadogo ili watimize haja zao, sio vizuri. Unamkuta mwanaume anamlaghai...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Katika viumbe ambao imeniwia tabu sana kuwaelewa ni Wanawake. Hawa viumbe maskini sijui wameumbwaje jamani. Sio msomi wa PhD wala mjinga aliyefeli darasa la Nne Kingunge primary wote ni walewale...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Mimi nina mke wangu tuna miaka kama nimetoka tuoane ndoa ya kanisani, mwanzoni mke wangu alikuwa mtulivu sana ila baada ya kupata mtoto visa vikaanza nilikuwa nakaa na mtoto wa dada yangu...
8 Reactions
287 Replies
21K Views
Kwanini wanawake mnapenda kujiita dume la shupaza jna maana gani? Jike shupa haina shida Nashangaa wanawake kujiita "dume la shupaza" maana yake nini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii mimi ishanitokea mara kadhaa hasa unapotongoza mtu huku ukiangalia body language yake huoni heri yoyote, inabidi tu ujiongeze. Vipi kwako mdada hii unaionaje, au ndo inakuwa nafuu ya...
2 Reactions
80 Replies
8K Views
Habari ndugu wana JF, Naamini ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku ya kutafuta mkate wa kila siku, bila kupoteza muda hebu twendeni kwenye maada kuu. Mimi ni...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Miaka yote ya umri wangu since nimemature nimekua nawasikia wasichana wakiwa na dhana ya kuhisi kua wao ni chombo cha starehe kwa wanaume. Wasichana wanapenda sana kusema utanichezea utaniacha...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni matumaini yangu mu wazima nyote. Hiki ni kisa cha ukweli na kinaniweka njia panda. Huyu ndugu yangu wa kiume alikuwa na mpenzi wake ila baada ya wazazi (Mama) kumuona huyu Binti hawakuridhika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani leo ngoja tujibrekishe kidoogo, lakini tuumizevichwa kimuziki Nimegundua nyimbi kibao zinazoelezea jinsi wanawake wanavotunyanyasa/sumbua kwenye mapenzi Tukichukulia kwamba wanamuziki...
0 Reactions
128 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…