Nampenda lakini naogopa kumwambia!

Nampenda lakini naogopa kumwambia!

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
 
Usihofu nimeshakuelewa, kuanzia sasa mimi ni wako, njoo tu PM kama una uhakika yule wa mwanzo mmesha mwagana!!!
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Ni pm nikufikishie ujumbe
 
Moyo wako ukipasuka atasikia kishindo na kukusaidia, hivyo vuta subira.
 
Wewe hunasifa hizo jana tu umetoa bonge la tusi kwenye Uzi wa waraka wa moniccca kwa wanaume
Haahaahaaaa! jana nilikuwa nafanya utafiti nikuone kama una roho ya uvumilivu, na kweli nikagundua kumbe unaweza kuvumilia mawimbi, kwa hiyo usiwe na wasi na mimi.
 
Wakuu hbr zenu!

Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.

Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.

Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.

MUMEO AMEKWENDA WAPI? HUONI KUWA UNAHATARISHA NDOA YAKO! KAA CHINI UTULIE, NYAMA NI ILE ILE INGAWA MABUCHA NI TOFAUTI.
 
Back
Top Bottom