Msaada: Nahitaji nijue ni nani aliyegundua punyeto duniani

Mr. Verossa

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
536
250
Kama title isemavyo nahitaji kujua aliyegundua punyeto nani mpaka inamzidi mwanamke kwenye ufanisi wa kazi
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,237
2,000
Kwani mkuu kama wewe unapiga hii mambo kuna mtu aliwahi kukufundisha kwamba fanya hivi na hivi?kama hukufundishwa na ulianza mwenyewe basi wote ndo hivyo hivyo..binafsi nakumbuka siku niliyoanza ilikuwa asubuhi nimeenda bath chombo kipo mnara ktk kujipaka paka sabuni ndo nikajisemea hivi nikifanya hivi kinatokea nini,asikwambie mtu kaka nilijikuta nazoea ila sasa nimeacha huu mchezo sio mzuri hata kidogo.
 
jew boy

Member
Dec 29, 2016
54
125

Same to me.....
Ila nimeshaacha nina miaka miwil sasa tangu niache
 
kajojo

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
2,283
2,000
Kwani mkuu kama wewe unapiga hii mambo kuna mtu aliwahi kukufundisha kwamba fanya hivi na hivi?kama hukufundishwa na ulianza mwenyewe basi wote ndo hivyo hivyo..binafsi nakumbuka siku niliyoanza ilikuwa asubuhi nimeenda bath chombo kipo mnara ktk kujipaka paka sabuni ndo nikajisemea hivi nikifanya hivi kinatokea nini,asikwambie mtu kaka nilijikuta nazoea ila sasa nimeacha huu mchezo sio mzuri hata kidogo.
mnh
 
EMMYGUY

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
8,556
2,000
Inaonekana mgunduzi huyo alikuwa akikataliwa na wanawake ama alikuwa muoga kutongoza hadi ikapelekea kugundua kuwa shortcut ya mapenzi ni Punyeto.
 
Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,178
2,000
Nyeto iligunduliwa na Zinjathropas kipindi kile anapekecha ulimbombo na ulindi ili kupata moto.

Ukisoma kitabu cha "Hidden History" edition ya 2 ya Kiswahili page ya 94 wanapozungumzia maisha ya Zinja na ugunduzi wa moto. Utaona mwandishi anasema haikuwa kazi rahisi kupekecha vijiti vile ili kupata moto.

Nikijaribu ku'quote' maneno ya mwandishi Mr. Analyse anaseme:

"Kabla ya kupata wazo la kutumia vijiti,waligonganisha sana mawe huku yakiwa karibu na nyasi"

Sasa ukiendelea ile page ya 95,mwandishi alisema ;

"Walipekecha sana vijiti kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka mtoa wazo bwana Zinja akaomba kupumzika na vijiti kushikwa na mdogo wake. Kutokana na baridi kali na mavazi hafifu ya kipindi hicho,waliokuwa pembeni walikuwa wamejikunyata sana. Wakati mdogo wake Zinja anaendelea kupekecha vijiti,Zinja alikuwa pembeni mita kadhaa anaangalia, ila kwavile na yeye alishanogewa na kupekecha wakati anamwangalia mdogo wake,akajikuta anapekecha dushe lake"

Mwandishi anaendelea ukurasa wa 96 "Ghafla vilitoka vitu vizito na vyeupe kwenye dushe la Zinja vikiwa na speed kali na kwenda kutua kwenye vijitu alivyokuwa akipekecha mdogo wake".

According to mwandishi ni kwamba ulitokea moto wa ghafla na huo ndio ukawa ugunduzi wa moto.

Tukiangalia vizuri hapa,utaona moto na nyeto ziligunduliwa siku moja.

Muhasisi mkuu wa NYETO ni mkubwa Zinja.

Wakuu mkikipata hiki kitabu mtajua vitu vingi sana. Maana inasemekana pia wakati wengine wanafurahia ule moto na joto lake,Zinja alikuwa kimya akitafakari ile raha ya muda mfupi aliyoipitia.

Na inasemekana hakuna mpiga nyeto yeyote aliyeshawahi kusikia raha kama ya Muhasisi,na ndio maana wengi ni vigumu kuacha mpaka waipate raha ya siku ya kwanza.Sipendagi ujinga mimi,Nakujibu unavyouliza.

Analyse.
 
Lost Doctor

Member
Apr 4, 2015
48

Bangi sio kitu cha mchezo mchezo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom