and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,359
- 36,355
Wakuu, nimepata zigo nataka nikalitindue kesho mapema tu, pamoja na kwamba tutatumia zana lakini nataka "kuhakiki" afya zetu, hivi ANGAZA watakuwa wazi na mapumziko haya ya mwisho wa mwaka kweli? maana kwa ugwadu/ashki nilizo nazo nahisi hata hiyo zana itapasuka.