Ukipenda hayo yote huyaoni
Hahaha... Kuna watu wanavipaji vyao aisee, Unawekaje future na mtu ambae haelewi hata anahitaji nini maishani?Kweli mkuu.. Unakuta mtu et kawekeana malengo na katoto ka miaka 17 eti atakaoa.. Na jamaa lilivo la ajabu Lina kakabidhi moyo.. Kanauchezea kanavojiskia tu na kakifikisha miaka 24 tu kanaolewa na na mdau mwingine...
Penda kwa kuhusisha akili yako. Moyo usukume damu. Kumpenda mtu asiejipenda ni sawa na kujitupa baharini kumuokoa anaezama ilhali nawe hujawahi hata kuogelea kwenye mfereji wa kijijini kwenu.
Mara nyingi mapenzi huusisha moyo
Kufall in love na dem ambae hajijali hiko ni kipaji
Ni kweli,hata juu ya nyumba yanaota ila huwezi jaza mganda.Mbona wanasemaga huota popote?
Wamakonde wanasemaga ''Don't hunt what you can't kill"Kama akili yako imezidi utimamu na unataka
kuupunguza, jaribu kumpenda mtu asiejipenda
mwenyewe.
Kama hajajitambua bila shaka atakusumbua tu. Watoto waachie watoto
wenzao. Cheza na size yako.... OVA
Huo msemo tu mkuu, kuna wengine rutuba zimeisha hata utumie mbolea unatoka kapa!!!Mbona wanasemaga huota popote?