JF Shukrani - Nimempata Mchumba! - Rejea tangazo langu la Jana tarehe 18/04/2016

Apr 7, 2016
55
31
Asanteni sana wadada wote mlionesha nia ya kuwa na mm pm tokea jana, ila nadhani moyo wangu umeamua na umemdondokea mtoto mzuri mwenye jina la ua, asante uwaridi langu wa moyo, nadhani we can take it to next level.

Kina TODAYS waliponda sana tangazo langu sijui nimetua english nitadoda ....lakini kijana nimejiopolea jiko hivyoo .

Thankyou uwaridi langu thankyou JF
 
huyo mbona demu wangu mkuu,au umeamua kunisaidia kulea hiyo mimba
 
Hivi kwanini huwa hamtualiki jamani? Naombeni muwe mnatualika aiseee, huwa tunawaombea sana sana, basi nashauri JF ianzishe Jukwaa la kutafuta Wapenzi Kaka Invisible sijakusikia siku nyingi, una neon juu ya hili?
Kutafutaje tena wapenzi zaidi yahili?

Afu ngoja niweke Uzi namie afu takualika mwaya
 
JF kweli watu wana roho mbaya..yaani mimi kusema tu nimepata nilichokuwa natafuta watu wamekuja juu..kweli adui ya mwafrika si mzungu hahaha
 
Eti tangazo la jana leo unatoa shukrani kila la heri

Nawadeizi, 'mambo mwendo kasi' ndo habareee ya mujini. Teh teh

Kukutana JANA 'online', then LEO mtu anashukuru na kujifariji kwamba 'kapata jiko'. Ama kweli hii ni zaidi ya 'mwendo kasi'
 
Back
Top Bottom