"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Mke wangu ana tattoo yenye jina la jamaa aliyemtoa bikira"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ozzie, Jul 30, 2011.

1. Ozzie

Ozzie JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Oct 9, 2007
Messages: 3,234
Likes Received: 38
Trophy Points: 135
Wana jamvi, msaada tutani.
Ni rafiki wangu wa karibu sana. Aliamua kunifuata kwenye chama cha wanandoa hivi karibuni kwa kufunga ndoa iliyoambatana na harusi iliyofana sana hapahapa jijini.
Bahati nzuri au mbaya, hakuwahi fanya mapenzi na mke wake huyu kabla hawajafunga ndoa. Anadai kila alipoomba tunda demu alikataa, hii ikamfanya amwamini sana huyu demu na hivyo kujitosa kuoa kabisa.
Sasa shida imeanzia honeymoon. Jamaa kaona tattoo kwenye paja la kulia la mkewe ikiwa imeandikwa I ikifuatiwa na alama ya moyo na mbele yake kuna jina ANGO. Mke alipoulizwa kadai alipigwa chapa na jamaa aitwaye ANGO ambaye ndiye alimtoa bikira.
Rafiki inamsumbua sana, hasa wanapokuwa wakicheza ngoma. Nimemshauri kwa kuwa ana kipato kizuri wakatoe tattoo, ila nahisi ana kinyongo maana analalama kwanini hakuambiwa mapema na demu huyu zaidi ya kunyimwa kumega pale alipohitaji. Sijui nimsaidieje rafiki yangu...

Updates 31/07/2011
Leo jioni wameenda kwa kiongozi wa kiroho aliyefungisha ndoa ili kupata ushauri. Rafiki kanidokeza yupo tayari kuishi bila mke (maana dini yake hairuhusu kuacha ukishaoa). Sijui yaliyojiri huko. Bado namsihi asimwache mke.

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
Jf is never boring these days....

3. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Hivi hayo madude huwaga hayafutiki?
Ni mambo ya zamani kama inamsumbua awe anaiziba na plasra kila anapokuwa faragha

4. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180
Ni mwanamke gani ana guts za kumwambia newly wed hubby on their wedding night
kuhusu mwanaume aliye mbikiri - hata hajalulizwa kama kabikiriwa??

Mwanamke yeyeto mjanja wa kukwepa kufanya Mapenzi na kufanikiwa kuolewa na huyo jamaa
Sio mjinga kiasi hicho... Jina ingekua Mike sawa... ANGO, Jina linajipa kabisa kua hata product...

5. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180

Inafutika... kuna jamaa wataalam pale Dar center... unakua Brand new..

6. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
haswa mamii tena mwanamke mjanja ambaye alikubali kuchorwa tatoo!!

7. Tuko

Tuko JF Bronze Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Jul 29, 2010
Messages: 11,186
Likes Received: 397
Trophy Points: 180
Kama haifutiki itamuumiza sana jamaa maishani mwake. Ajitahid aitoe. Kumuacha sio perfect maana ameshaoa. Lakini kwa wale hawajaoa, epukeni wapenzi wanaoficha sana uchi kabla ndoa...

8. SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Aug 25, 2010
Messages: 7,081
Likes Received: 1,817
Trophy Points: 280
Makubwa!!

9. Ozzie

Ozzie JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Oct 9, 2007
Messages: 3,234
Likes Received: 38
Trophy Points: 135
Haya mambo yapo, hasa kwa wasichana wa kike wanapoanza mapenzi, wakidhani mfunguaji ndiyo mume mtarajiwa... Mambo ya utotoni. ANGO kwa lugha ya jamaa ni kirefu cha majina kibao, kama Angolwisye yaani kaniongoza.

10. Rose1980

Rose1980 JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 5,701
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
duhh!!!
lakin poa ...mavi ya kale....

amchek ,amuhoji km akionekana kweli ni tattoo tu na wala hawaendelei basi poa apotezee..ASKIP KUONA IYO TATTOO...ist pocbo?

kwa utapel uliozagaa siku izi et ..walahi ata mtu akinambia rose pls tusichunguliane mpaka ndoa ahh HAPANA..SIKUBALI....

mara nyng watu wanatumia mbinu iyo km defence flan katika UPUNGUFU WALIONAO..TEST B4 ANYTHNG IS CRUCIAL....

Kuna rafik yangu alimpata jamaa enzi izo tupo mabibo hostel ..jamaa akawa anajifanya mwema sana eti ataki tendo mpka ndoa..bas bibie akawa anajisifia ahh bfrend wangu mtumwema ..nimepata mume mwema...ahh watu wwakamwambia wewe fanya UPEKUZI YAKINIFU USIJE UKAUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA ..AHH bwana ndoa ikafungwa usiku honey moon nakwambia jamaa bado anavuga et atak..kachoka basi bibie akalia sana ehh jamaa akasema basi poa ngoja nikupe nakwambia alivyochojoa ahh bibie kidogo atoke nduki..kitu kifup mithili ya funguo wa STARLETi nakwambia..apo ndo kimedinda..ahh bibie mwez tu akatanga ndoa imemshnda..jamaa kidudu kifuuuuuuuuuuuup km mtoto mchanga....

zaman watu walikuwa na maadili wakisema tusifanye basi ni kwa sababu ya maadili na wala hana nia mbaya ..lakinj siku izi watu wanaitumia iyo mbinu kuficha maovu...

mtu anajifanya ahh mi bikra tusidoo mpk unioe...ahh mwisho wa siku ukija kumchek unamkuta bibie ana mattattoo kila pembe ..

paja la kushoto tattoo ya juma,paja la kulia tattoo ya john titi la kushoTo kuna tattoo ya samweli ..titii la kulia tatoo ya tom...**** la kulia tatoo ya ben...ahh wewe usikubali HAKIKISHA MALI/MZIGO KM UPO KAMILI KABLA AUJAUBEBA.

11. nyumba kubwa

nyumba kubwa JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 10,279
Likes Received: 1,720
Trophy Points: 280
Nimecheka kwa nguvu baada ya kusoma hii thread. Mimi nashangaa sana vijana na matatoo. NAsikia kama umeomba kazi jeshini wanakagua mwili mzima ukiwa na tatoo hupati kazi. Nchi nyingi za latin america polisi wakikuona na tatoo wanakukamata (hasa vijana wa kiume) kwa kuwa zina uhusiano na gangs za wauza na watumia madawa ya kulevya. Niliona documentary moja vijana wanajuta kuweka ma tatoo kuna NGO ilikuwa inawasaidia kuzifuta. Latin America kumeoza kwa gangs yani yale mambo ya kama komandoo yoso. Tumuombe Mungu atunusuru; kuna mdada nasoma nae anatokea moja ya nchi za latin America anasema yani hawezi kwenda hata dukani peke yake mpaka asindikizwe na kaka yake na lazima watu kumiliki silaha kujilinda. Maiti zinaokotwa hovyo mitaani vijana wamekuwa wanatishia amani.

Tuanze sasa kupinga matatoo na makundi ya vijiweni kabla hatujaathirika kama latin america. Nenda Brazil, Mexico, Colombia, kote hakufai. Na serikali zimeshanyanyua mikono, vijana wana power ya hajabu. Na huo mchezo wameiga North America through vijana waliokuwa wahalifu huko na kuwa deported back to south america.

12. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180

Cha ajabu sasa... Na ajuae jiko liko wapi... hata choo lazima ajue... this story iko fishy...

13. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180

Jamani Sherrif... Makubwa si the original first post.... lol... Hii makubwa yake nini??

14. Tuko

Tuko JF Bronze Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Jul 29, 2010
Messages: 11,186
Likes Received: 397
Trophy Points: 180
Siku nyingine Rose utaambiwa unanyanyapaa walemavu..

15. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#15
Jul 30, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,228
Likes Received: 3,782
Trophy Points: 280
Ndio maana mi katu siji kuoa demu ambaye sijamega ni kajiridhisha vya kutosha!

16. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#16
Jul 30, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160

umenichekesha na nimefurahia maelezo yako

17. nyumba kubwa

nyumba kubwa JF-Expert Member

#17
Jul 30, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 10,279
Likes Received: 1,720
Trophy Points: 280
Wewe unazidi kunivunja mbavu. Isije kuwa namjua huyo kijana. Kuna kijana namfahamu alioa mwanafunzi wa UD. Ndoa ilivunjika wakiwa honeymoon. Mwanamke kasepa mpaka kesho. Hamna aliyewahi fikiri kuwa ni sababu ya kibamia. Mfano mama yangu alikuwa anasema mambo ya ndoa inawezekana wanaamini mizimu huko kwao ndiyo imewaletea nuksi.
Kuna umuhimu wa kupima aisee ili kuepuka kuwa cheaters. Ndio wale wengine wanavumilia lakini unakuta watoto wote wa nje. Maana binti anamrudia ex.
18. Ozzie

Ozzie JF-Expert Member

#18
Jul 30, 2011
Joined: Oct 9, 2007
Messages: 3,234
Likes Received: 38
Trophy Points: 135

Mmh, mimi japo ni mzee wa kanisa lakini bado ninaamini katika kupekua kwanza; maana unaweza kuta mambo ya ajabu kama haya. Usipofanya jitihada hata Mungu hatokuotesha ng'o. Mungu atatusamehe tu kwa kweli...

19. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#19
Jul 30, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 11,999
Likes Received: 2,655
Trophy Points: 280
Mwambie aipige pasi itafutika.

20. Ozzie

Ozzie JF-Expert Member

#20
Jul 30, 2011
Joined: Oct 9, 2007
Messages: 3,234
Likes Received: 38
Trophy Points: 135

Duh, ataishia Segerea...

Loading...