Wadada achaneni na waganga wanawaharibia miili yenu

Dionize N

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,848
3,293
Wanawake achaneni na maswala ya kwenda kwa waganga ili kusafisha nyota sijui wenyewe mnadai, unakuta mwanake mzuri hadi unavutiwa nae, unatumia pesa zako hadi unampata, mkienda sasa ili kukamilisha tukio unamvua mwanamke unakuta kajaa michale yaana kachanjwachanjwa hadi matak*ni

Tunajua awamu hii ni ngumu lakini hebu tulieni bana, sie ambao hatujaona tutawahudumieni tuu ni single boys hatuwezi isha jamani na huduma zenu ni muhimu sana tutawafuata hatuwezi susa hilo no moja ya hitaji muhimu katika maisha ya mwanaume, achene kuchafua miili mnapunguza mizuka nisiongope jana mdada alinipotezea hamu kabisa baada ya kuona michale chale kibao.
 
Back
Top Bottom