za wikend...
jamani nimeamua kuandika hili maana ni haki yangu kikatiba kueleza hisia zangu..[emoji16]
.
Mwenzenu mimi huwa nachanganyikiwa sana nikimuona mwanamke amevalia viatu vya namna...
Eti na wewe unajiita Mwanaume, Mwanaume
kumnunulia Zawadi Girlfriend wako ni mpaka uone
Valentine's Day imekaribia,ndio unajishobokesha na
Shopping ili kusafisha nyota..
Nani aliyekwambia Usela...
habari zenu wapendwa,
kwanza niseme am melancholic yaani nimekuwa naye for two years now, hakuna tatizo lolote kwangu, ila amekuwa akificha makucha ndio nayaona hivi sasa, ana kiburi, ana jeuri...
Wakuu kila nikikatisha Mmu naona mada zinazohitaji ushauri kuhusiana na mahusiano yao na wapendwa wao zimekuwa nyingi hasa kipindi hiki.
Si jambo baya kuomba ushauri tena kwa watu wanaojua mambo...
Hii nimeikuta sehemu kuwa mwanaume waliotitia chini yani (wafupi) au mbegu fupi hata awe na mambo kiasi gani kwa gubu lake lazima umshindwe. Yaani wana visa, wachoyo, umimi na ubabe sasa na...
Sijawahi Kutumia Marijuana/Cannabis/Weed/Ganja/Bangi/ But nimesikia rumors kuwa Ukinyoga unakua Vizuri sana kwenye Sita kwa Sits
Siitangazi but waliowahi kuonja mtupe Ukweli wa hii kitu.
Je...
Nitakribani Miezi 3 hivi sasa tukiwa ndani ya ndoa na kabla ya hapo tulikuwa kwenye mahusiano takribani miaka mitatu iliyopita wakati tukiwa katika mahusiano nilikuwa nikijaribu kuchungualia...
Wasalaaam..
Hii tabia sijui hua najiendekesha au ndo iko kwenye damu!
Yan naweza kurudiana ata na msichana nlikutana nae fom 2 ilimrad npate papuchi!
Inatokea naachana na msichana thn no...
Wadau habari zenu,naomba mniambie hapa mwenye kosa ni nani
Ni kwamba siku moja nipo kwenye daladala natoka kwenye mishe zangu nkakutana na mtoto kwenye gari nikaomba namba after 2 days nikamtia...
Leo kuna mtu kanitumia video ya binti akicheza wimbo wa yamoto akiwa uchi huku akirekodiwa na mpenzi wake, binti alishtuka akamwambia mpenzi wake anamrekodi jamaa akasema ni kwa ajili yake...
1.Upendo wa dhati
2.Ukweli
3.Uwazi
4.Uaminifu
5.Uvumilivu
6.Msimamo thabiti
7.Mawasiliano
N.B: HEKIMA NA BUSARA ndio msingi wa hayo yote.
hakikisha upo vizuri katika hayo yote na safari yako ya...
EBU LITAMBUE HILI NA ULIWEKE KICHWANI MWAKO (BABY NUMBER ONE).
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali...
Jamani kama ni huzuni imetawala myo wang ni kwann sina anayenipenda na kila ninayetaka kumpenda ananikataa sijui nifanyeje juu ya hili.Maisha yangu yamekuwa kama ya mtu asiye na kitu chochote...
Mwanaume alimzalisha akiwa form two akaishi nae kiunyumba miezi 6 bila Mimi kujua (alinificha) Mimi nikabeba mzigo nikauzalisha nikaishi nao miaka mitano nimeambiwa na wengine kwamba aliishi na...
Maisha haya hayana mwenyewe,
Nilikuwa mtu mwenye kujiheshimu sana, kuwashauri watu juu ya matendo mema, niliishi nakujitahidi kuwa mfano wa kuigwa lakini sasa mambo yamegeuka.
Tangu utoto na...
Wadau mimi ni kijana mwenye miaka 27 nimemaliza chuo mwaka 2015.. Kuna binti nipo nae katika mahusiano kwa kipindi kirefu na kwa bahati nzuri tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambae kwa...
Kushakuwa na hili tatizo kwa hawa baadhi kaka zetu ,wamekuwa wambea mpaka sisi wanawake tunashangaa ,kiufupi wametuzidi wanawakee,mi nahisi ndio maana wanaume wengi wamekuwa mashoga nadhani kwa...