Nifanyeje; Mpenzi wa zamani kanipigia simu anataka kuonana na mimi

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,593
Mpenzi wangu wa zamani kanipigia simu asubuhi akitaka tuonane. Nikamjibu kwamba niko job labda nikitoka. Akanambia nijitahidi leo tuonane na nimemwambia job natoka saa 09:00 alasiri.

Nawaza anataka kunieleza nini? ni zaidi ya miaka 2 sijajihusisha naye.
NIMWAMBIE NINI ARIZIKE BILA KUNIONA?
 
Hatukuhachana kwa ubaya, ilikuwa kupotezeana tu mawasiliano ... hadi ikawa hivyo.... ila huwa tunawasiliana kwa sm tu!
Usiseme uongo ni dhambi! kuwa wazi kwake kuwa hujisikii kuonana naye leo. Ukweli utakulinda na ndio mtaji hapa mjini
 
Back
Top Bottom