Mapenzi ya namna hii ndio fasheni?

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Upendo wa kweli hupimwa pale Mambo uliyomuona nayo Season 1 yanapobadilika ikifika season 2. Upendo wa kweli hupimwa pale ambapo Hela ulizomkuta nazo wakati mnaanza zinapokwisha na inabidi msaidiane kutafuta zingine ili muendelee kuishi vizuri kama Mwanzo

Upendo wa kweli hupimwa pale Umbo lake linapofifia na ile Mijihips uliyompendea mwanzo inapokwisha Ukimuacha kwa sababu lile tako refu ulilomkuta nalo akiwa Kigoli mbichi limekwisha HUKUMPENDA YEYE, ULIPENDA TAKO ZAIDI

Ukimuacha kwa sababu yale maisha mazuri aliyokuwa anakupa mwanzo hayapo tena kwa sababu Uchumi umeyumba HUKUMPENDA
YEYE, ULIPENDA MAISHA MAZURI ULIYOMKUTA NAYO

Huwezi kuihama CHADEMA kwa sababu tu Halmashauri Kuu imemvua Uanachama Zitto Kabwe, Hukuipenda Chadema ila ulimpenda Zitto Kabwe.

Jiulize leo, Unampenda yeye au Unapenda
ulivyomkuta navyo?? Wengi wanafeli hapa, wamekuta Goodlife na Bata Love ikajiconnect fasta, Hela ikikata ndo utajua unatumia Wireless ya
4G LTE au uliweka Bundle ya Siku.

-stunter-
 
Usisahau ya kwamba, Mla nawe sio Mfa nawe......mfanawe ni yule mtafuta nawe.
NIMEMALIZA, Una swali?
 
i uiii iiiiiiiiiiiiiii8iiiiiiiiiiiiiiiiiiiii8iiioi koiiiiiiii8iiii8iiiii ouuupk.oout5uuuiyyyyyyy u.opuuuiupuuuuhuuupiuppiupppipp iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii8i.i ii8i
 
New member
 
Upendo wa kweli hupimwa pale Mambo uliyomuona nayo Season 1 yanapobadilika ikifika season 2. Upendo wa kweli hupimwa pale ambapo Hela ulizomkuta nazo wakati mnaanza zinapokwisha na inabidi msaidiane kutafuta zingine ili muendelee kuishi vizuri kama Mwanzo

Upendo wa kweli hupimwa pale Umbo lake linapofifia na ile Mijihips uliyompendea mwanzo inapokwisha Ukimuacha kwa sababu lile tako refu ulilomkuta nalo akiwa Kigoli mbichi limekwisha HUKUMPENDA YEYE, ULIPENDA TAKO ZAIDI

Ukimuacha kwa sababu yale maisha mazuri aliyokuwa anakupa mwanzo hayapo tena kwa sababu Uchumi umeyumba HUKUMPENDA
YEYE, ULIPENDA MAISHA MAZURI ULIYOMKUTA NAYO

Huwezi kuihama CHADEMA kwa sababu tu Halmashauri Kuu imemvua Uanachama Zitto Kabwe, Hukuipenda Chadema ila ulimpenda Zitto Kabwe.

Jiulize leo, Unampenda yeye au Unapenda
ulivyomkuta navyo?? Wengi wanafeli hapa, wamekuta Goodlife na Bata Love ikajiconnect fasta, Hela ikikata ndo utajua unatumia Wireless ya
4G LTE au uliweka Bundle ya Siku.

-stunter-
Naaam...
 
Back
Top Bottom