Mama mzazi kauza nyumba ya baba yangu kisha anaishi nyumba ya kupanga

Jongirojo

Member
Jan 1, 2017
17
14
Mimi ni mtoto wakwanza ktk familia,mama angu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba angu ambaye ni marehemu sasa alihishi pale akiwa na wadogo zangu wa tumbu moja
Sijui nn kilitokea nikapata taarifa za msiba mdogo wangu aliye nifuata kuzaliwa akafariki nilikwenda msibani nilipofika ndipo nilipata taarifa ya kuwa nyumba imeuzwa
sasa nasikia mama ni mgonjwa na je naweza shiriki chochote wakati alinitenga
Wakati wa kuuza nyumba ya baba angu?
 
Kwenye avatar hapo ni wewe?
 
Hawa ndio wanaoombea wazazi wafe ili warithi mali, ulitaka ushirikishwe hiyo nyumba ni yako?kwanza inaonyesha una dharau sana kwa mama yako na malipo ni hapa hapa duniani
 
Pumbavu kabisa, eti mama yangu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba yangu...alikuwa anaishi nyumbani KWAKE...hili toto tahira sana na laana itakufuata
 
Mimi ni mtoto wakwanza ktk familia,mama angu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba angu ambaye ni marehemu sasa alihishi pale akiwa na wadogo zangu wa tumbu moja
Sijui nn kilitokea nikapata taarifa za msiba mdogo wangu aliye nifuata kuzaliwa akafariki nilikwenda msibani nilipofika ndipo nilipata taarifa ya kuwa nyumba imeuzwa
sasa nasikia mama ni mgonjwa na je naweza shiriki chochote wakati alinitenga
Wakati wa kuuza nyumba ya baba angu?
Mzazi ni Mzazi tu usinitafutie laana na mikosi katika umri huo maisha bado yanakuhitaji kama wewe unavyoyahitaji
Mhudumie tu mpaka mwisho huku ukijitahidi kutomuuliza chochote kuhusiana na hilo
 
Kauza mali yake, nenda tu kamuuguze mama maana thamani ya mama inazidi thamani ya hiyo nyumba unayoilalamikia! Mama hawezi kumtenga mtoto hata siku moja bali nyie watoto ndio mnawatenga wazazi wenu,inavyoonyesha nyumbani kwenu hujaenda siku nyingi na una mawasiliano duni na mama yako hivyo yaweza kua mama aliiuza hiyo nyumba kutatua matatizo yake baada ya wewe kumtenga na kuto mjali kwa matunzo
VIJANA TUWAJALI SANA WAZAZI WETU, MAANA WAO WAFURAHIPO NDIO PEPO YENYEWE IYO,MNAAMINI KUNA MUNGU NA MAISHA YA MBINGUNI HUKU MKIWAACHA WAZAZI WENU WANATAABIKA? NI LAANA KUM
 
Katika akaunti yako inaonyesha umezaliwa 1907 na una miaka 110,
Bila shaka una uzoefu mkubwa wa maisha kwani umeona mengi.
Nafikiri wew ndiye unayefaa kutushauri sisi kuliko wewe kutaka ushauri wetu jamani
Sometime inabidi kuwashauri sababu wazee wa sasa hivi wanazeeka vibaya,wanakuwa na akili ya kitoto.jokes.
 
1. Kama baba aliacha woasia, hilo litazingatowa.

2. Kama baba haukuacha wosia, na baada ya kifo chake mlifuata kufungua taratibu za mirathi, sheria itazingatiwa.

3. Kama baada ya kifo cha baba, watoto wote hamkijali kifuatilia chochote yani mirathi, hapo itakiwa imekula kwenu, labda umfungulie mama kesi ukiwa na ushahidi wote.

4. Watoto wana rithi kwa baba. Kwa hiyo kama nyumba ilikuwa ya baba basi ni nyumba ya watoto. Lakini zinhatio litafuatwa kama mlifuata taratibu za mirathi.

5. Huu ni uzembe wako wewe mtoto wa kwanza kuachia mali za baba zipotee kirahisi hivi. Wewe ni wakulaumiwa sana...

6. Alikutenga kwa sababu hukua karibu nae... Wala hukuwa na msaada wowote kwake... Ulijitenga na familia ndiyo maana hujui nini kinachoendelea..

7. Huyo ni mama yako. Huna budi kwenda kumuhidumia na kumuangalia haijalishi amekufanyia nini... Mzazi ni mzazi... Hayo mengine ni uzembe wako...

Ndiyo maana wazazi mara zingine mtoto wa kwanza akiwa wa kiume wanashukuru sana...
 
Una homa wewe.... ebu nenda kamuuguze mamako.... unafikiri babako angeipata iyo nyumba bila kuwa na mke wake ambaye ndo mama yako? Nafikiri wewe bado hujaolewa ungekuwa umeolewa ungejua mahusiano yaliyopo baina ya mke na mume hata kama mke ni goli kipa
 
Mimi ni mtoto wakwanza ktk familia,mama angu alikuwa anaishi nyumbani kwa baba angu ambaye ni marehemu sasa alihishi pale akiwa na wadogo zangu wa tumbu moja
Sijui nn kilitokea nikapata taarifa za msiba mdogo wangu aliye nifuata kuzaliwa akafariki nilikwenda msibani nilipofika ndipo nilipata taarifa ya kuwa nyumba imeuzwa
sasa nasikia mama ni mgonjwa na je naweza shiriki chochote wakati alinitenga
Wakati wa kuuza nyumba ya baba angu?
Acha kuwa na akili tegemezi,kama baba yako alitafuta,mmiliki mwenza alikuwa mama yako,na wewe ulipaswa utafute kama unanona ni lazima kuachiwa cha cha baba yako,ili nawe uwaachie wanao.
Nakushauri utafute chako kwa ajili ya kulelea familia yako,mara utakapomaliza majukumu yako ya msingi kwa wanao,ambayo ni kuwapa ELIMU BORA,anza kuuza nawe uwe umeishi,na wao watatafuta vyao.
 
Kwahyo unaona una haki kwwnye nyumba aliyotolea jasho mama yako na mume wake
Shubaaamit jenga yako ulete hayo mamlaka
Runs nyu mban uguza mama yako
Hujajiuliza why ameuza nyumba?

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom