Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini ndugu zangu.
Kuchepuka siyo kitu kizuri, kwanza ni dhambi kubwa sana.Vitabu vitakatifu vinasema.
Mm yalinikuta hivi:
Dada mmoja mwalimu alitokea kunipenda sana. Na ninafikiri sababu mojawapo n kwasababu mm nilimpenda sana mtoto wake.Kila ninapotoka kazini kurudi home, nakatupia pipi, chips snacks, bigiji, nk. Sasa kakatokea kunipenda sana sana.Kakiona tu gari kanatega njiani. Kuna siku niliwahi kukabeba na kwenda nako misele kidogo.
Basi mama ake (huyo mwalimu) akawa kumbe ananipenda sana,bila mm kujua.Siku moja akanisimamisha na kuniambia :
" Unavyompenda mtoto wangu,hata babake hafikii. Natamani kama ingetokea ukawa baba ake. Lakini ndo hivyo tena".
Mm nilichukulia poa tu, nikendelea na utaratibu wangu uleule wa kumpenda mtoto wake.
Siku nyingine tena akaniambia:
" Tafuta muda twende nikakununulie beer, nimejisikia tu kunywa na wewe". Nikamwambia ningemjibu.
Baada ya kama wiki hivi, tukatoka paleplae mtaani kupata kilaji.Katikati ya unywaji, akaniambia:
"nakupenda sana, naomba leo nikupe raha, please".Nikwambia raha gani?Akasema "tamu...".
Basi bhana,siku hiyohiyo nikajicommit tukafanya mapenzi kiroho safi..
Dah.