Wachora Tattoos wanapata majaribu wakati wa kuchora

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,340
Ni siku nyingine tena tuliiiiiivu, twamshukuru tena Mungu wetu kwa uzima, pia mibaraka yake ...

Japo mie si mpenzi wa "tattoos" nowadays jambo hilo limezidi kushika kasi hasa kwa wasanii na "celebrities" walo wengi.

Picha katika majarida mbalimbali na hata, news, celebrities' websites nk. huzionesha hizo tattoos tofauti tofauti ... na zingine zikiwa katika "MAENEO TATA" kama alivyo Riana hapo ktk pic. HUU NI MTIHANI KWA MCHORAJI ...
 
Attachments

  • Rihanna-Vogue-Magazine-April-2016-Cover-Photoshoot03.jpeg
    Rihanna-Vogue-Magazine-April-2016-Cover-Photoshoot03.jpeg
    57.4 KB · Views: 97
Mkuu, utajibiwa kulingana na maelezo yako, sijui ni swali au ni ushauli, anyway

√√kwa hao wenzetu kuonesha sehemu zao in public ni kawaida tuu, hata mbele ya familia yake, watoto na hata wazazi,yani wao hawana feeling kama sie waafrica ndo mana wanaweza kuonesha miili yao wao kwa wao lakini wasi feel chochote ,but siye huku tukiona paja tuu daaaa.....
 
Mbona hata bongo wanachora sana, utakuta msanii kachora kwenye kiuno au mapajani... Kwenye maziwa ndo usiseme kabisa.
Wachoraji wana mitihani
 
Na wanaotengenez kuch kinadada wanamajaribu pia lkn ukiw kikazi zaidi hisia huwahazisomi..kw niaonavyo
 
kwahiyo unataka tufanyaje mkuu,hapa umeleta maoni ushauri au ufafanuzi?
habari yako nayo hii ni ya hovyo hovyo!
" habari yako hii nayo ni ya hovyo hovyo" Asante mkuu .... naomba Mungu anipe busara na hekima pia ufahamu ili muda mwingine nisitoe habari ya hovyo hovyo tena
 
Mkuu, utajibiwa kulingana na maelezo yako, sijui ni swali au ni ushauli, anyway

√√kwa hao wenzetu kuonesha sehemu zao in public ni kawaida tuu, hata mbele ya familia yake, watoto na hata wazazi,yani wao hawana feeling kama sie waafrica ndo mana wanaweza kuonesha miili yao wao kwa wao lakini wasi feel chochote ,but siye huku tukiona paja tuu daaaa.....
Nmekupata bosi wangu ...... Nimejaribu kuongelea "generally" mkuu .... maana naamin hata "celebrities" wa huku kwetu watakuwa wanachora pia .... japo cjawahi ona hizo za maeneo "tata"
 
kama walimu tu na watoto wa kike wa kizaz hiki....................ikiwa umejitolea kufanya kaz fulan kupata kipato chako huna budi tamaa zingine kuziepuka.....
 
Mkuu huyu lazma awe beautiful si unajua bado ni katoto kale kabeyonce kameshakuwa kabibi na pia ameshaumbA mtu so hawawezi kuwa sawa
kabeyonce kanazidi kuzeeka tu now kana mapacha wawili tumboni dah.
 
Kila kazi na ugumu wke ila huwa naskiaskia cna hakika kwamba wle wachoraji huwa c rizki!
 
Back
Top Bottom