zendindi
Member
- Aug 11, 2016
- 29
- 23
Itakuaje pale mpenzi wako anapokupigia simu Mara moja kwa wiki, na ikipiga simu haipokelewi na akipokea mnasalimiana tu Alafu atakwambia atakupigia badae, na hapigi pia unamkuta online whatsp ukimtext anafunga data, unapomuuliza Kama kweli a nakupenda ana sema ndio. Je huu ni uungwana?