Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, Mke wangu kanisaliti? Nini nifanye? Je kuna haja kumwamini tena?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Magulumangu, Sep 5, 2012.

 1. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wana JF imekuwa ni muda sasa toka nipotee Jamvini hiyo ni life, I prefer not to say the reasons...Tatizo langu ambalo linasumbua kichwa changu kwa muda wa wiki mbili hivi sasa...nina mke toka miaka mitano sasa tumeoana, katika hili na lile akapata kazi MJI mwingine miezi miwili sasa na mie ikabidi nibanyumbani kumalizia mambo yangu then niungane nae, sasa siku nikaenda kumtembelea, siku ya kwanza tu nikaona tofauti machoni mwake na wasiwasi mwingi, kwanza simu yake tofauti na kawaida yake ikawa inafichwa sana hivo wasiwasi ukaniingia, nikaitafuta ilipo yeye akiwa amelala, kufungua tu nikakutana na Ujumbe "HEY SWEET I WILL BE LEAVING HOME TODAY, I MISS YOU ALREADY" nikamwita kwa upole na kumwambia nini hii? kawaida yangu huuliza kwa UPOLE, jibu nilolipa ni "NILIKUWA NASUBIRI NIJE HUKO ILI TUACHANE", kichwa kikaaloose control kabisa, niliumia sana, nikajaribu muuliza kama nimefanya kitu chochote kibaya, akasema hakuna ila niliekutana naye "HE IS DIFFERENT", nikawa mwanaume nikamwambia kwa miaka mitano sijawahi kuweka mkono kwake, sijawahi kumuwakia kwa lolote, na wala sitawahi kushout on her, basi nikamwambia twende kwa huyo jamaa ake mpye"THE DIFFERENT", bila aibu na kwa kujivuna jamaa akanijibu, "SHE IS BEAUTIFUL" I LOVE HER and I want to be with her, nilitaka kurusha ngumi lkn roho ikaniambia sio tabia yangu kukurupuka, nikamuuliza WIFE, unataka kuwa na mimi jibu lake ni "I DON"T KNOW", unataka kuwa na jamaa? jibu "KAKAA KIMYA", siku ilofuata nikarudi nae nyumbani, kila akipata mwanya anamwandikia jamaa sms, na jamaa anapiga simu any time he feels to..Alijaribu hata kunitukana kwa simu, lkn we differ in levels..jamani Mke wangu karudi kazini, hapa nilipo jana tu alikutana na jamaa,nimemwambia aache kazi hataki...najua kila mtu atalichulia hili kitofauti, lkn nampenda mke wangu, je, should I let it go? Sijafikiria kutarakiana maishani mwangu, CV ya maisha yangu itaharibika....naomba ushauri wenu...
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  are still worried about CV?Tuanongea kuhusu maisha yako hapa kaka yangu!mwanamke hakupendi tena period!achana nae wapo wengine barabarani wanahitaji mtu wa aina yako!achana kubeba mzigo ya wengine huyo hajua thamanani yako wala hataijua kamwe,ndoa inaumiza kuvunjika lakini bila upendo na amani hakuna ndoa!huna hja ya kuendela kufikiri tena mwache aende kwa huyo mr different!kaa anza kujipanga upya na maisha yanaendelea!
   
 3. S

  Sangomwile JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu Magulumangu,sitaki kuamini kama hii imekutokea wewe.Kama ndivyo,inaonekana mkeo(wa ndoa?)amedanganywa mno na huyo jamaa.Si kweli kwamba jamaa ni wa kipekee bali anatumia domo lake kukuzunguka,anafahamu wewe si mwongeaji,ipo siku utashangaa jamaa unamfahamu fika.ONGEA VIZURI NA MKEO,jazba weka pembeni atakupa ukweli.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  una roho ya paka wewe, mkeo anakukana mbele ya mwizi wako bado upo??

  Ni mama yako huyo???

  Dark City, Nyani Ngabu, njooni uanamme umevikwa kimini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  CV yako ya maisha unataka kumpelekea nani? Na unaomba nafasi gani na hiyo CV??

  Ngoja uje ulee mamluki na ugonjwa.
   
 6. Lait noir

  Lait noir Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na kwa taarifa yako mkuu siku ukimuacha huyo mama na huyo jamaa atamuacha. Usifikirie sana kuhusu CV, CV bila heshima na upendo inasaidia nini sasa? Akikupa miwaya CV itakusaidia nini mkuu? Chukua hatua bana
   
 7. majany

  majany JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sio mzinma wewe....nenda mirembe kapime!!!
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu snowhite ni mimi imenitokea na bado inazidi kunitokea, nimeongea na rafiki yake mke wangu kwa masaa manne kwa simu, sikuwahi kuwa na amani na upendo kama kwa mke wangu(ni wa ndoa kabisa), mpaka naandika leo hapa it means yamenifika, nahitaji msaada, wengi kweli wapo wanohitaji mtu kama mimi, je, kama wakiwa kama huyu? je, will I love again? je, huyu jamaa kweli atakuwa nae? sijisemi kuwa mie najua kupenda lkn rafiki yake She pointed out on me kuwa, she saw love always on me....alilia sana nilipomwambia what happening, kanishauri ni fight for her, swali, what kind of fight?
   
 9. aye

  aye JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  bora uumie kwa muda mfupi kuliko mateso ya kila siku naona unayoyapata fanya maamuzi mwanamke akishabadilika ni vigumu sana kumrudisha na itachukua muda yameshanikuta kama yako ila hakuwa mke nikang'ang'ania lakini wapi matokeo yake maumivu kila siku, tupa kule nakushauri
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,189
  Trophy Points: 280
  Rudi jando.
   
 11. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu amini usiamini, siandiki kufurahisha, yamenitokea na bado yananitokea, nimestop kazi nyingi for a while, mie mtu wa mungu sana lkn kwa hili "I have no strength to face it", nimemwambia yote hayo kuwa for sure hatakaa na jamaa hata miezi miwili, I gave have what I had, the love, the trust, the bilieve, the loyality and all a woman needs from a her husband, I treated her like my mother, cuz my mother died when I was young, when I look at her, I felt the presence of my mother, sina neno ndugu yangu lkn it happened to me....
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  acha hiyo ngoma, sikiliza mkuu... siku unapogundua mkeo kacheat, ujue hajaanza siku hiyo. na siku mkeo anapokubali kacheat, ujue alishakuchoka kama kimba la asubuhi
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  Unalia CV yako kuharibika wakati mkeo hata haelewi hilo anapigwa jando live band kama ngwasuma pale msasani,watu wengine bana kusoma hamjui hata picha hamuoni,nshaachana na wanawake zaidi ya kumi na kwa upuuzi kama huo itakua ni hivyo tu mpaka kieleweke
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu hivi wewe unajua neno KUPENDA? if you so, think twice, sijakurupuka kuandika hili, nimekaa na kujiuliza, nimeliweka kwenye taaluma yangu, nimechambua na kukaa kwa sana tu alone, Sio mama yangu lkn "when I was young, very young my mama passed away", i treated her just like her, reflection ya Mama huwa nilikuwa naiona kwa mke wangu, mkuu nahitaji msaada, sikuta kupigana na wala sina hulka ya kupigana maana without a reason fighting sio kitu muhimu sana, wala kukanwa sio kitu cha ajabu sana, I was blave to accept when she ignored me...Najua she will come back begging me and am sure for that, swali, when she will come crying what will I do? kiukweli sipendi kuona chozi la mwanamke linatoka kwa ajili yangu...
   
 15. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Sitaki kuamini kama bado kuna wanaume wa dizain yako ulimwengu wa leo.Skia mkuu navojua mimi wewe una mawenge ya mapenz na umeelemewa haswa kias kwamba ubongo wako hautaki kukubali kwamba unachofanyiwa si sahihi.Mh alaf kwa mastori ya dizain hii bado vijana eti tutamani kuoa?To hell.Achana na mambo ya cv,status,hadhi,heshma,weka pemben mwache mwanamke huyo hakupend.At the end of the day Mungu si mjinga kihvo hata kama iman yako hairuhusu kutoa talaka.Mambo mengne ni MAPOKEO tu syo sheria za Mungu.Mwache huyo ibilisi.Ah nimeumia kama imenitokea mimi vile
   
 16. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  mkuu sijui kama umenielewa what did i mean "LIFE CV" wajua kusema ni simple, anyway nitatakiwa kuwa na mpenzi mwingine, swali hata kama hataniuliza lkn for sure.. you were married, what happened then? The mark...why did you divorce? Mkuu think twice on this....
   
 17. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Huyu anazungumzia mke!
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu nimeongea nae kiunaga ubaga kuhusu hilo, lkn ujue Mapenzi kizunguzungu ndugu yangu, I valued her more than you might think...nimekuwa mwaminifu kwake kupita kiasi........Tatizo sio what to, but how to....
   
 19. majany

  majany JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  naona kama husaidiki vile,yaan una argument za kitoto,eti ana reflection ya marehemu mama,hakyanani huyo alishakuroga pia.Ngoja tuongee vitu vya msingi...Hivi Drogba ameshaenda Liverpool
   
 20. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante sana, nimejaribu lkn wapi, nimeumia kweli na bado naumia....
   
Loading...