MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
Wakuu nauliza
Wangapi mko kwenye mahusiano na mnaruhusu wapenzi wenu kuchat Fb na marafiki wa jinsia tofauti?
Kama ni mwanamke unakuta anachat na frd wa kiume anakwambia they are just normal friend au mara nyingine unakuta ana chat na ex wake na ukimuonya anakasirika na kukuita una wivu, je fb itumikeje kwa wanandoa?
Kufuta akount za fb kwa wote with wawili ni solution au kushare passwad inaweza kusaidia kupunguza ujinga wafanyao wanandoa fb (i mean kupeana passwad)