Suala la harusi kwa sasa limekuwa likifanya mabibi harusi wengi kudhoofika miili yao na nyuso zao kupoteza mng'ao kwa mawazo ya kutaka masherehe makubwa.
Wengine wanaumwa mpaka vidonda ukimuuliza...
A man rented a house and moved in with his family. After 2 years, the rent was increased from TZS 400,000 to TZS 500,000. He didn't complain because he liked the house.
The following year, he...
Re-Post;
- Malaya ni nani?
- Ni mwanaume au mwanamke?
Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya?
Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili?
Kwa upande wangu huwa naona vigumu...
Leo Tujifunze kitu
Kama una date binti wa umri wa kuanzia miaka 23 huna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwana na kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali...
#Respect to ALL JF Members#
#More Respect to ALL JF Ladies......Married and Unmarried Ladies, Single Moms and Single Ladies#
The intention of this thread to tell you that I am looking for a...
Habari za jioni wadau,
Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza,
Wakati wa uchumba na mwanamke ambaye alikuja kuwa mke wangu nilikuwa na mawasiliano ya karibu na upande wa mke wangu anyway naweza...
Mdada mzima
embu nisaidie na kwa hili jamani kuna swali nimeulizwa na mtu mkubwa kweli leo
nikaona wewe wa kunisaidia zaidi nkampa moyo kama anaitaji jr ani pm nina vijana
wako vizuri tu na...
Habarini Mabibi na Mabwana Awali ya yote ndo nimejongea tena kwenye fani yangu ya KUWAFUNDA/KUWAPA SOMO murua ambalo litakufanya uwe mdadisi, m TAFiti , na mchambuzi wa mambo na vilevile kupata...
USIPOJIPANGA UTAPANGWA
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..
-Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, why..?
Because ndege hutumia mda mchache (mf. Ukitoma dar...
Habari za kutwa wana jf .
Natafuta mwanamke wa kuanza nae mahusiano ya kimapenzi.
Kwa mimi binafsi nimejiajili na ninge penda na yeye akawa ameajiriwa au amejiajili pia sio mbaya akiwa anasoma...
Hivi kwanini watu wanapenda kutoa taarifa kwa kutisha, ili huyo mtu achanganyikiwe, akose raha, halafu anakupa habari nusu na ukimuuliza kuna nini hasemi ooh! Nitakutafuta tu.
Hawa watu huwa wana...
Sasa kuna mahusiano mengi, wanaume wengi wa siku hizi hata mke mmoja anamtoa nduki kitandani!Sasa nafikiria wanaume hawa wanaooa wanawake wanne hivi wanawezaje kuwahudumia wake zao wote shida zao...
Hii imekaaje wakuu? Kuna wanawake wa aina flani kwa kweli nashangaa.
Hapa kazini kuna jamaa fulani yupo kitengo tofauti na mimi, ila tunasalimiana! Jamaa mtanashati na mpambanaji kisawa sawa...
Salaam,
Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda...
SOUDY-BROWN & DOREEN
chunguza haya mapozi na utabaini dalili nyingi za kukubalika.........................kazi ni kwako!
Ukiona mdada anaonyesha dalili zifuatazo basi ujue mwelekeo upo kaza...
Wana JF,
Wahenga walisema mwanamke mwema kwako ni mama yako tuu nimeamini nilifanikiwa kumpa binti mimba kiukweli nilijitahidi sana kulea mimba mpaka mtoto alipozaliwa kuiona tuu sura ya mtoto...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa muda mrefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzuri kutokana na tabia za huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano yetu...