Mademu 6 wamenigongea cash ndani ya wiki 1

Mr PARE

JF-Expert Member
Feb 2, 2017
780
520
Hii hali ni mbaya
Baba magu legeza Uzi, mtaani sasa HV ni kuwachota kirahisi.
Mara huyu anagongea 100k, mara huyu 60k yani shida tupu.
 
C4uMkeUWAAAlDTf.jpg
 
zima simu maisha yataenda tu... me nimeweza epuka hayo... Raisi kasema wasahau bure... Unajinyima vitu vingi and then unachukuliwa kirahisi kwa njia ya msg kudadadeki... just like toa ndugu toa ndugu ulicho nacho sasa Bwana anakuona mpaka rohoni mwako...
 
Ntajarbu hlo zoez
 
Back
Top Bottom