kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,490
- 18,378
Re-Post;
- Malaya ni nani?
- Ni mwanaume au mwanamke?
Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya?
Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili?
Kwa upande wangu huwa naona vigumu kumwita mwanamke malaya wakati sijawahi mgegeda.
Nini kipimo cha kuwa malaya?
Kuna wadada wanapenda sana pesa tena kwa uwazi kabisa.
Hata hapa JF wapo (kulingana na jinsi wanavyojinadi) refer team no free P.
Je, hawa nao ni malaya?
Lastly kuna tofauti gani kati ya maneno haya hapa chini na malaya?
i. Kahaba
ii.Changudoa
Hebu tujadiliane