Naomba ushauri: Hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi

Von G

JF-Expert Member
Jan 21, 2015
243
246
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa muda mrefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzuri kutokana na tabia za huyu mwenzangu. Tulianza mahusiano yetu vizuri sana baadae mwenzangu alibadilika ghafla, nikaja kugundua alikuwa na mahusiano na wanaume wengine (zaidi ya mmoja) tukawa tumepotezana kwa mda kidogo coz alikuwa hapokei simu wala kujib text zangu alafu akawa ni mtu wa kusafiri sana kumbe alikuwa anasafiri na hao mabwana zake, siku nimekutana nae nilimuona na dalili za mimba roho iliniuma sana, mwanzoni alidanganya baadae akakubali akawa ametoa hiyo mimba akaomaba nimsamehe kwa sababu nampenda sana tena sana nikawa nmemsamehe.

Tukawa pamoja kwa mda mfupi baadae alianza tabia yake ya kuruka ruka na starehe kwa sana, niliamua kumuacha japo roho ilikuwa inaniuma alafu yeye hata hajali kila kitu kwake poa tu. Baadae alirudi akaanza kunitafuta akaomba msamaha kama kawaida yake, kupenda ni hatari sana jamani nilimsamehe tukaanza kuwa pamoja, alikaa kwangu kwa muda wa week, nikaanza michakato kwenda kutoa posa na mahari kwao.

Sasa alivyorudi nyumbani kwao akaanza tena unaweza mpgia simu anakuambia sipo nyumbani nipo kwa dada angu fulani, au kwa bibi nitarudi kesho, au nipo hospitali bibi anaumwa baadae simu inapotea hewani hata siku mbili akipatika anakuambia huku kijijini simu ilizima charge. Sasa kilichonichosha zaidi sasahivi hana hata hamu ya mapenzi kabisa tofauti na navyomjua mimi, huyu mpenzi wangu hapo awali alikuwa akiniona tu hutumii nguvu nyingi kumuandaa, lakini sasa hivi hata ukifanyeje hawezi kuwa tiyari hadi umpake mafuta kidogo. na unaweza kumuomba hata mwezi nzima anakuambia sijisikii, sina hamu.

Naomba ushauri wadau, nifanje ili aweze thamini hisia zangu, au hata kama nikimuacha nifanyeje coz nampenda sana huyu dada natamani awe mke wangu wa ndoa, kuna vitu huwa vinanifanya nimpende sana ni rafiki, mnataniana na kucheka, mpole ila sasa ndo hayo mambo yake, nilishajaribu kumuacha nashindwa nafuta namba kila kitu ila akinipigia tu au nikumuona tu nabadilisha mawazo.
 
Pole,kubali kuwa mume bwege. Huyo mchumba wako ni kama choo cha baa kila mtu anakitumia
IMG-20170210-WA0026.jpg
 
Mkuu.. naomba unisamehe maana wakati nasoma post yako nilikuwa nakutana kimoyomoyo..

Pili, kuna sehemu umerusha juu juu, alipotoa mimba, umezungumza as if hukuhusika na hiyo laana kabisa..

Tatu na mwisho, ni ushauri, jifunze ku-give up, sometimes it prove how strong you are, not always a weakness.
 
Kupenda kubaya, hilo tatizo la kukosa hisia veepe. Kashadukuliwa sana ndo maana sasa hivi anachukulia poa tu. Afanye asifanye kwake poa tu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa mda mefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzur kutokana na tabia za huyu mwenzangu.tulianza mahusiano yetu vizuri sana baadae mwenzangu alibadilika ghafla,nikaja kugundua alikuwa na mahusiano na wanaume wengine (Zaidi ya mmoja) tukawa tumepotezana kwa mda kidogo coz alikuwa hapokei simu wala kujib text zangu af akawa nmtu wa kusafr sana kumbe alkuwa anasafri na hao mabwana zake, siku nmekutana nae nilmuona na dalili za mimba roho iliniuma sana, mwanzon alidanganya baadae akakubali akawa ametoa hyo mimba akaomaba nmsamehe kwa sabab na mpenda sana tena sana nikawa nmemsamehe. tukawa pamoja kwa mda mfupi baadae alianza tabia yake ya kuruka ruka na starehe kwa sana, nliamua kumuacha japo roho ilikuwa inaniuma af yeye hata hajali kila kitu kwake poa tu.baadae alirud akaanza kunitafta akaomba msamaha kama kawaida yake, kupenda ni hatare sana jaman nilimsamehe tukaanza kuwa pamoja, alikaa kwangu kwa mda wa week, nkaanza michakato kwenda kutoa posa na mahali kwao .Sasa alivorudi nyumbani kwao akaanza tena unaweza mpgia simu anakuambia sipo nyumbani nipo kwa dada angu Fulani, au kwa Bibi nitard kesho, au nipo hospitali Bibi anaumwa baadae simu inapotea hewan hata siku mbili akipatika anakuambia huku kijijin simu ilizma charge, sasa kilichonichosha Zaidi sasa hiv hana hata hamu ya mapenzi kabisa tofauti na navo mjua mimi , huyu mpenzi angu apo awali alikuwa akioniona tu hutumii nguvu nyingi kumuandaa, lakin sasa hivi hata ukifanyeje hawezi kuwa tiara hadi umpake mafuta kidogo. na unaweza kumuomba hata mwezi nzima anakuambia sjiskii, sina hamu.
Naomba ushaur wadau, nifanje ili aweze thamini hisia zangu, au hata kama nkumuacha nifanyeje coz nampenda sana huyu dada nataman awe mke wangu wa ndoa, kna vitu huwa vinanifanya nmpende sana ni rafk, mnataniana na kucheka, mpole ila sasa ndo hayo mambo yake, nilshajarb kumuacha nashndwa nafta namba kila kitu ila akinipgia tu au nkumuona tu nabadilisha mawazo.
Wanaume wapumbavu kama wee ndio mwisho wa siku mnaishia kujinyonga.
Mwanamke kagawa papuchi huko nje kasuguliwa hadi kapata mimba ila wewe bado unaye tu.
Shenzi!!! Eti nampenda sana...
Acha uboya....
Siku akikuletea ngoma ndio utampenda zaidi....
Mwanamke kabeba mimba nje maana yake anasuguliwa kavu kavu hata hajali.
Huyo mwanamke atakuua..
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa mda mefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzur kutokana na tabia za huyu mwenzangu.tulianza mahusiano yetu vizuri sana baadae mwenzangu alibadilika ghafla,nikaja kugundua alikuwa na mahusiano na wanaume wengine (Zaidi ya mmoja) tukawa tumepotezana kwa mda kidogo coz alikuwa hapokei simu wala kujib text zangu af akawa nmtu wa kusafr sana kumbe alkuwa anasafri na hao mabwana zake, siku nmekutana nae nilmuona na dalili za mimba roho iliniuma sana, mwanzon alidanganya baadae akakubali akawa ametoa hyo mimba akaomaba nmsamehe kwa sabab na mpenda sana tena sana nikawa nmemsamehe. tukawa pamoja kwa mda mfupi baadae alianza tabia yake ya kuruka ruka na starehe kwa sana, nliamua kumuacha japo roho ilikuwa inaniuma af yeye hata hajali kila kitu kwake poa tu.baadae alirud akaanza kunitafta akaomba msamaha kama kawaida yake, kupenda ni hatare sana jaman nilimsamehe tukaanza kuwa pamoja, alikaa kwangu kwa mda wa week, nkaanza michakato kwenda kutoa posa na mahali kwao .Sasa alivorudi nyumbani kwao akaanza tena unaweza mpgia simu anakuambia sipo nyumbani nipo kwa dada angu Fulani, au kwa Bibi nitard kesho, au nipo hospitali Bibi anaumwa baadae simu inapotea hewan hata siku mbili akipatika anakuambia huku kijijin simu ilizma charge, sasa kilichonichosha Zaidi sasa hiv hana hata hamu ya mapenzi kabisa tofauti na navo mjua mimi , huyu mpenzi angu apo awali alikuwa akioniona tu hutumii nguvu nyingi kumuandaa, lakin sasa hivi hata ukifanyeje hawezi kuwa tiara hadi umpake mafuta kidogo. na unaweza kumuomba hata mwezi nzima anakuambia sjiskii, sina hamu.
Naomba ushaur wadau, nifanje ili aweze thamini hisia zangu, au hata kama nkumuacha nifanyeje coz nampenda sana huyu dada nataman awe mke wangu wa ndoa, kna vitu huwa vinanifanya nmpende sana ni rafk, mnataniana na kucheka, mpole ila sasa ndo hayo mambo yake, nilshajarb kumuacha nashndwa nafta namba kila kitu ila akinipgia tu au nkumuona tu nabadilisha mawazo.
Kama moyo usigeuke nyumba...
 
Kama ni ujinga wewe umezid aisee.

Yote hayo bado unampenda.

Unajua kabisa anagawa papuchi kama njugu na wewe umekaa eti nampenda wapumbavu ndo ilitakiwa kingwangala awawekw ndani.
 
NIMEONA HATA UVIVU KUMALIZIA HADITHI YAKO... WEWE NI ZAIDI YA MWANAMKE... HATA MWANAMKE HANA MSIMAMO KAMA WAKO... kafe mbele huko,,, umenikera sana, yani hasira nilizopata baada ya kusoma uzi wako ningekuwa karibu nawe ningekuvunja taya! MWANAUME GANI WEWE UKO HIVYO??? daaah! ndo maana nyie mnawaaibisha wanaume wenzenu wa dar.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nina mpenzi wangu wa mda mefu toka 2014 japo mapenzi yetu yamekuwa hayana muendelezo muzur kutokana na tabia za huyu mwenzangu.tulianza mahusiano yetu vizuri sana baadae mwenzangu alibadilika ghafla,nikaja kugundua alikuwa na mahusiano na wanaume wengine (Zaidi ya mmoja) tukawa tumepotezana kwa mda kidogo coz alikuwa hapokei simu wala kujib text zangu af akawa nmtu wa kusafr sana kumbe alkuwa anasafri na hao mabwana zake, siku nmekutana nae nilmuona na dalili za mimba roho iliniuma sana, mwanzon alidanganya baadae akakubali akawa ametoa hyo mimba akaomaba nmsamehe kwa sabab na mpenda sana tena sana nikawa nmemsamehe. tukawa pamoja kwa mda mfupi baadae alianza tabia yake ya kuruka ruka na starehe kwa sana, nliamua kumuacha japo roho ilikuwa inaniuma af yeye hata hajali kila kitu kwake poa tu.baadae alirud akaanza kunitafta akaomba msamaha kama kawaida yake, kupenda ni hatare sana jaman nilimsamehe tukaanza kuwa pamoja, alikaa kwangu kwa mda wa week, nkaanza michakato kwenda kutoa posa na mahali kwao .Sasa alivorudi nyumbani kwao akaanza tena unaweza mpgia simu anakuambia sipo nyumbani nipo kwa dada angu Fulani, au kwa Bibi nitard kesho, au nipo hospitali Bibi anaumwa baadae simu inapotea hewan hata siku mbili akipatika anakuambia huku kijijin simu ilizma charge, sasa kilichonichosha Zaidi sasa hiv hana hata hamu ya mapenzi kabisa tofauti na navo mjua mimi , huyu mpenzi angu apo awali alikuwa akioniona tu hutumii nguvu nyingi kumuandaa, lakin sasa hivi hata ukifanyeje hawezi kuwa tiara hadi umpake mafuta kidogo. na unaweza kumuomba hata mwezi nzima anakuambia sjiskii, sina hamu.
Naomba ushaur wadau, nifanje ili aweze thamini hisia zangu, au hata kama nkumuacha nifanyeje coz nampenda sana huyu dada nataman awe mke wangu wa ndoa, kna vitu huwa vinanifanya nmpende sana ni rafk, mnataniana na kucheka, mpole ila sasa ndo hayo mambo yake, nilshajarb kumuacha nashndwa nafta namba kila kitu ila akinipgia tu au nkumuona tu nabadilisha mawazo.
"Kusikia kwa kenge hadi damu imtoke masikioni"utakubaliana naye mkuu akisha kupa lile gonjwa ambalo watu wanahangaikia tiba,samahani visa vyote hivyo wewe huskii ni afkani,kichaa.limbukeni au hayawani?endelea naye tu maana mara zote ulipokosewa hukuja kutuomba ulimsamehe juu kwa juu,anajua unampenda na hata ukimkuta analiwa 0713... utamsamehe,teseka mkuu teseka tu na ukisha teseka uteseke teena sana labda utaskia!
 
daah! huu ni uzalilishaji kabisa!!
mjamaa anatuzalilisha wanaume wote kwa uzi huu, at a misimamo hauna? unajifafanya umezila mtoto akija unaanza kumkenulia

at a jack wa titanic alikufa kwa sababu ya rose lkn ilikuwa kishujaa zaidi
 
daah! huu ni uzalilishaji kabisa!!
mjamaa anatuzalilisha wanaume wote kwa uzi huu, at a misimamo hauna? unajifafanya umezila mtoto akija unaanza kumkenulia

ata jack wa titanic alikufa kwa sababu ya rose lkn ilikuwa kishujaa zaidi
 
1.uwandishi wako ni mbovo hivyo basi jaribu kuwa unaandika vizuri mkuu.

2.hizi thread jamii forum zimejaa sana hivyo basi jaribu kuzitafuta pengine unaweza ukajifunza mengi zaidi ya kusubili comment za watu hapa.

3.ukiwa kama mwanaume acha kulialia kama mwanamke aliyefumaniwa hata ndugu na jamaa zako watakushangaa.

4.samahani kama nimekukwaza ila jaribu kuwa mwandishi mzuri wa mada zako.

5.ushauri wangu ndio huo

MWISHO.
 
  • huko sio kupenda ni ujinga tena ni ujinga wa standard gauge
  • kashakuona wewe zoba that's why anafanya anavyotaka
  • yani unaona kabisa hapa naongopewa na wewe ulivyokuwa bwege unasema yes beib i do WTF are u zoba??
  • by the way samahani sana nimeumia kuona mwanaume mwenzangu mapenzi yanakupeleka hivi
Go To Hell
 
siku nmekutana nae nilmuona na dalili za mimba roho iliniuma sana, mwanzon alidanganya baadae akakubali akawa ametoa hyo mimba..................na ya kwako atakuja kuitoa tu siku moja keshaua once haitakua hatar kukuua wewe mkuu take Care
 
Back
Top Bottom