manSniper
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 814
- 679
Wana JF,
Wahenga walisema mwanamke mwema kwako ni mama yako tuu nimeamini nilifanikiwa kumpa binti mimba kiukweli nilijitahidi sana kulea mimba mpaka mtoto alipozaliwa kuiona tuu sura ya mtoto huulizi copy chata damu ya kichaga unavyojua wachaga hatutupi watoto.
Nililea japo nina mke nilieka bajeti ya kila mwezi kwa mtoto ni mwaka wa pili na miezi 8 bado bili ya mtoto ya maziwa natoa ikafika mwaka jana mama mtoto akisema wazazi wamemwambia aende chuo nurse nikamwambia anipe namba za bibi yake mtoto niwe natuma matumizi akakataa niwe namtumia yeye nikaona haina shida nikawa natuma pia saa nyingine na matumizi yake.
Ikafika mahali akaniambia hawezi olewa na mwanaume mwingine anataka mimi nikamwambia nina mke na kiukweli wife nimetoka nae mbali nikamwambia basi awe mke mdogo akagoma nikamwambia basi ukimaliza nurse nitamfungulia duka dawa ili mtoto apate matumizi.
Sasa akaenda fild sijui akaanza kubadilika kuforce nimtumie ela ya matumizi ya mtoto nikawa natuma juzi juzi akaniambia amepata mwanaume na kamwahidi kumuoa yeye na mtoto nikamwambia mwanangu hawezi lelewa na baba wa kambo mimi nikiwa hai iliopo tutampeleka bording akagoma.
Nikamwambia amlete mtoto nimfungulie fixed account akagoma ilitokea ogomvi akanijibu nisihangaike na matumizi atamhudumia mtoto huyo na mwanaume mpya iliniuma iliniuma sana, hivi hapa mimi kosa langu nini jamani.
Nifanyeje maana nimemblock hata namba zake nimefuta na yeye kukaa kimya inaniuma mtoto tu si mama.