bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 222
Nataka nikipata mimba iwe ya mapacha , je kunamtu anaejua inatokeaje? Nambieni basi! Ila naomba msnitukane mana mhhj.
Ahsante ,msomi utamjua bwana anauheshimu mdomo wake, awezi kutukana kwake ni mwiko. Sasa wale ziro vat duh utakoma mwenyewe mhhhh.Inatokea kwa nadra kwa mifuko ya mayai miwili -kushoto na kulia(ovaries) kila mmoja kuachia yai ndani ya mwezi huohuo badala ya kupeana zamu moja iachie mwezi huu nyingine mwezi ujao. Kama unahitaji ya kulazimisha waone matabibu wana madawa ya kulazimisha zote mbili ziachie mayai ila kama kuna madhara utatwambia.
Ndiyo best! Shangazi yangu anao na mdogo wangu pia anao.so namie napenda kweli.Kwenu kuna mapacha?!
nmesoma sehem beyonce mjamzito wa mapacha chek nae kama vp atakusaidia
mie sjui nmempa connection nin shida sasaSio vizuri hivyo
zile sparm amwagie kwa tigo kule ndo huwa wana patikana mapacha
mie sjui nmempa connection nin shida sasa
hyo itakua kamata fursa twenzetuMwishowe akampokonye jay z
Mapacha huwa wanapatikana just kwa kupanga tu!?