Nimesikia kuwa leo ni ' Birthday ' ya Rais Robert Gabriel Mugabe wa nchi ya Zimbabwe na akiwa anatimiza miaka yake 93 ila kuna kitu nimeona niwaulizeni ili niweze kupata ' maarifa ' zaidi kwani...
Habari wanajamii,
Nimekuja tena kwenu kuomba ushauri na ninaomba msaada wenu.
Mpenzi wangu ambaye tumekaa nae kwa miaka mitatu sasa, juzi tulipishana kiswahili.
Labda niwaeleze jinsi tulivyoishi...
Naomba niende kwenye mada, mke wangu alikuwa mama wa nyumbani nilikaa nae kwa upendo sana sijawahi kujutia na upendo sana na heshima mpaka dada yangu akasema nifanye mpango mke wangu awe na kazi...
Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata NGONO tena kwa bei nafuu.
Unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250.
Ina maana kwa mwezi...
Nimefikia uamuzi wa kutafuta binti mwenye shida ya kuolewa. Mimi nahitaji nioe na naamini jf nitapata atakayetamani kuishi na mimi.
Nimesoma ndio maana nategemea kupata aliyepita shule.
Mtaani ni...
Habari za majukumu familia yangu na JF?
Natumaini ni wazima wa afya njema huku mkiendelea na majukumu yenu ya kila siku.
Back to the point
Mwenzenu nlikuwa na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana...
Wanawake wenzangu!
Natamani sana sote humu tuwe wake wema kwa wame zetu au mahusiano yetu kiujumla. Hivo naomba kushea kitu hapa. Hii nimeona mahali nikabarikiwa nayo kuleta kwenu wapendwa...
Kila Nkisikiaga hii nyimbo Ya Man X ft Dully Sykes Najisikia Vibaya Sana Ingawa Wakati Mwingine napiga Moyo Konde najifariji, Kwa kusahau Yale Ya nyuma...
Wanazuoni wanasema kila kinachotokea...
Habari za mda huu wana JF?
Najitokeza hapa nikiwa na dhamira ya kutafuta rafiki wa kike/mpenzi, ambaye tutaoana na kuwa mke na mume.
Mimi ni mwajiriwa wa serikali, elimu yangu ni ya Chuo kikuu...
Napenda sana wanaume wenye yale mavifua huwa nikiwaonaga napatwa na bumbuazi #hako ndiko kauzaifu kangu ila japo nimerizika na niliye naye japo hana #NIMEONA NIWAPE HONGERA NYIE WENYE MAJIFUA WOTE...
Habarini wadau,
Jamani kuna inshu hapa inanitatiza,
Mimi nina mwanamke ambae baadae atakuja kuwa mke wangu na nimezaa nae mtoto mmoja, ila kwa muda mrefu tunaishi mbalimbali mimi nikachepuka kwa...
Nina mchumba nimeishi nae kwa miaka miwili ndio nipo kwenye utaratibu wa kuanza michakato ya kuoana.
Lakinii kuna jambo linanishangaza kidogo kila tunapotofautiana kidogo au kugombana mwenzangu...
BY DAYAN MASINDE
1. “Confidence”
A woman with confidence in herself radiates and calls out for admiration.
2. “Well-moisturized lips”
Let your lips not be dry. Use lip balm, lip gloss, lip...
Habari za jioni watanzania wenzangu
Nianze moja kwa moja kuna mkasa umenifika kama mwanaume ninayetarajia kufunga ndoa miezi minne ijayo lakini imetokea sintofahamu kubwa cn kwa mwenzangu...
Habarini wanajamvi
Niko kwenye ndoa ni mwaka wa nane sasa, mume wangu ni mature person wa miaka 35, ila kuna tabia moja anayonikera nayo mno ya kutumia muda wote baada ya kazi kwenye mitandao ya...
Dah! Hawa jamaa wamekuwa wakifaidi sana wasichana zetu au wake zetu, tumejikuta tunashare nao bila hata kupenda na wakati mwingine hata kunyimwa na wandani wetu ila jamaa akija anajilia vyake...
Schadenfreude ni hali ya kuhisi furaha/starehe pindi mtu anapoona au kusikia watu wengine wanateseka au wamepatwa na tatizo.
Hili ni tatizo la kisaikolojia lenye kuashiria chuki miongoni mwa watu...