GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Nimesikia kuwa leo ni ' Birthday ' ya Rais Robert Gabriel Mugabe wa nchi ya Zimbabwe na akiwa anatimiza miaka yake 93 ila kuna kitu nimeona niwaulizeni ili niweze kupata ' maarifa ' zaidi kwani naamini humu humu JF ndiyo kisima cha kila kitu.
Hivi kwa huu ' Umri ' wa Mzee Mugabe je ' kimugabe ' chake chake bado kinaweza kufanya Kazi vile vile ( kuonyesha Ushirikiano ) au ' kimugabe ' chake sasa kinatoa tu Upepo na hakionyeshi tena Ushirikiano?
Kila nikimwangalia Mke wake na ambaye ' kiuhalisia ' ni mrembo kweli kweli na si wa ki spoti spoti huwa napatwa na wasiwasi kuwa inawezakana Mzee Mugabe akawa pengine anasaidiwa na ' vimugabe ' vingine kwani Mkewe bado anadai sana tu.
Naomba kuwasilisha.