Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,008
Ni kitu gani hasa husababisha mtu kufumba macho wakati wa kissing?? Kwanini mtu asikodoee kodo?? Itakuaje ukimkiss mtu akakutolea mimacho??
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kampeU rily nid a bit of D.. this w/end otherwise utatupofua macho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sababu sura kwa karibu inatisha
Nitaona hanipi attention.. Me nitaendelea kufumba ili nisijue kama yeye amekodoaVipi Wee unakiss mwenzio kakodoa ?? How do you feel??
[emoji12] [emoji12] [emoji12] kampe
Asubuhi yote umeamua kutuvunja mbavu.....Sababu sura kwa karibu inatisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sababu sura kwa karibu inatisha