Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Dah! Hawa jamaa wamekuwa wakifaidi sana wasichana zetu au wake zetu, tumejikuta tunashare nao bila hata kupenda na wakati mwingine hata kunyimwa na wandani wetu ila jamaa akija anajilia vyake.
Dah! kwa kweli wanafaidi sana, maana kuna msichana mmoja alininyima papuchi, kumbe ana haka kamdudu, kana kula mambo.
Nimejikuta tu nawaonea gere kwa jinsi wanavyofaudu kwa kweli.
Ila wakae wakijua Mungu anawaona!
Natamani ningekuwa wao!