Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 104
Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata NGONO tena kwa bei nafuu.
Unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250.
Ina maana kwa mwezi mmoja unalipa Tshs. 6000/=
Kwa wiki moja unalipa Tshs.1500/=
Na kwa siku Tshs 215/=
Kwann ukanunue mwanamke kwa zaidi ya Tshs 30,000/= na gharama ya chipsi kuku na Pepsi afu akupe mapenzi kwa raundi mbili tu, wakati ungekua umeoa ungekuwa unalipa TSHS 215/= na unapiga mzigo raundi kibao mpk utosheke mwenyewe.
Nenda kaoe wewe upige mzigo kwa bei nafuu acha uboya wa kulipa pesa nyingi kwa penz la siku moja.........