Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

nikubhilikile uje

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
264
241
Habari za jioni watanzania wenzangu
Nianze moja kwa moja kuna mkasa umenifika kama mwanaume ninayetarajia kufunga ndoa miezi minne ijayo lakini imetokea sintofahamu kubwa cn kwa mwenzangu kubadilika mm

Nafanya kazi dar na yy mkoani. mwenzangu katokea kubadilika kabisa ni ugomvi usioisha mpaka imefikia hatua tunashindwa kupanga vitu kuhusiana na ndoa yetu. Pia mahari kila kitu nilishatoa na mpaka ss hv pande zote mbili zinaendelea na vikao vy shughuri.

Mabadiliko haya yametokea gafla bila hata kutibuana wala kugombana ila kutokana na upelelezi hakinifu nimekuja kujuwa kaanza mahusiano na jamaa mmoja anafanya naye kazi nimefatilia kupitia system nilizonazo za cm za kila kitu nimejuwa kuwa ananisaliti na mpaka tarehe ya kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa

Imeniumiza sana nikifikiria kwa sasa tulipo hiki kitu kinatokea naumia naenda kazini sio mimi nimejaribu kutaka kuchukua maamuzi mazito moyo unasita najaribu kuuliza watu kupitia indirect way wanajibu inatakiwa kuwa na subira na kuwa na uvumilivu sana ila inauma sana.

Wanandugu naombeni ushauri nifanyeje kuhusiana na hili swala kwani nikiwa peke yangu nawaza sana inanibidi nijichanganye kupiga story kwa sana ili nijisahaulishe lakini jaman naomba ushauri nifanyeje

samahani kama nitakuwa nimewaudhi mnisamehe.
Ni mm mwajamii mwenzenu.
 
Habari za jioni watanzania wenzangu

Nianze moja kwa moja kunamka mkasa umenifika kama kama mwanaume ninaye tarajia kufunga ndoa miezi minne ijayo lakini imetokea sintofahamu kubwa cn kwa mwenzangu kubadilika mm nafanya kazi dar na yy mkoani mwenzangu katokea kubadilika kabisa ni ugomvi usio hisha mpaka imefikia hatua tunashindwa kupanga vtu kuhusiana na ndoa yte pia Mali kila kitu nilishatoa na mpaka ss hv pande zote mbili zinaendelea na vikao vy shughuri.

Mabadiliko haya yametokea gafla bila hata kutibuana wala kugombana ila kutokana na upelelezi hakinifu nimekuja kujuwa kaanza mahusiano na jamaa mmja anafanya naye kazi nimefatilia kupitia system nilizonazo za cm za kila kitu nimejuwa kuwa ananisaliti na mpaka tarehe ya kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa imeniumiza cn nikifikilia kwa ss tulipo hiki kitu kinatokea naumia naenda kazini sio mimi nimejaribu kutaka kuchukua maamuzi mazito moyo unasita najaribu kuuliza watu kupitia indirect way wanajb hinatakiwa kuwa na subira na kuwa na uvumilivu cn ila inauma cn.
Wanandungu naombeni ushauri nifanyeje kuhusiana na hili swala kwn nikiwa pekeyangu nawaza cn inanibidi nijichanganye kupiga story kwa sana ili nijisaulishe lakn jaman naomba ushauri nifanyeje samahanini kama nitakuwa nimewahudhi mnisamehe.
Ni mm mwajamii mwenzenu.
Samahani umesema kuna mwanaume ulipanga nae kufunga ndoa?

By the way pole sana tujue jinsia yako kwanza.
 
Pole sana mkuu
Nakushauri tafuta siku nenda huko anakofanya kazi mkeo mtarajiwa,tafuta sehemu nzuri mkae then mueleze kila kitu (najua atakataa) lakini hiyo itaweza kukusaidia kujua huyo mwanamke kwa sasa amesima upande gani.
Ukiona anakupa majibu ambayo hayaeleweki muulize kama yuko tayari kufunga ndoa au hayuko tayari.
Ukiona hasomeki achana naye,sababu ni rahisi kuacha mchumba kuliko kuacha mke maana itakuletea aibu kwa ndugu zako huko mbeleni.
 
Pole. Mwisho wa yote sikiliza moyo wako.. Kama utaweza kusamehe na kuendelea au kila kitu kiishie hapo. Jipe muda utulie kbs, waza mazuri yake tu aliokufanyia au kukuonyesha.. Hapo ndo uamue/ujipime una uwezo wa kusamehe au utumie ile njia ya kumwaga mboga na kumwaga ugali. Kila la kheri.
 
Pole sana mkuu
Nakushauri tafuta siku nenda huko anakofanya kazi mkeo mtarajiwa,tafuta sehemu nzuri mkae then mueleze kila kitu (najua atakataa) likini hiyo itaweza kukusaidia kujua huyo mwanamke kwa sasa amesima upande gani.
Ukiona anakupa majibu ambayo hayaelewi muulize kama yuko tayari kufunga ndoa au hayuko tayari.
Ukiona hasomeki achana naye,sababu ni rahisi kuacha mchumba kuliko kuacha mke itakuletea aibu kwa ndugu zako huko mbeleni.
Quoted ni laisi kuacha mchumba kuliko mke...... Akili ku mkichwa
 
Habari za jioni watanzania wenzangu

Nianze moja kwa moja kunamka mkasa umenifika kama kama mwanaume ninaye tarajia kufunga ndoa miezi minne ijayo lakini imetokea sintofahamu kubwa cn kwa mwenzangu kubadilika mm nafanya kazi dar na yy mkoani mwenzangu katokea kubadilika kabisa ni ugomvi usio hisha mpaka imefikia hatua tunashindwa kupanga vtu kuhusiana na ndoa yte pia Mali kila kitu nilishatoa na mpaka ss hv pande zote mbili zinaendelea na vikao vy shughuri.

Mabadiliko haya yametokea gafla bila hata kutibuana wala kugombana ila kutokana na upelelezi hakinifu nimekuja kujuwa kaanza mahusiano na jamaa mmja anafanya naye kazi nimefatilia kupitia system nilizonazo za cm za kila kitu nimejuwa kuwa ananisaliti na mpaka tarehe ya kunisaliti naijuwa kanisaliti tarehe 30 /1/2017 muda wa saa 4 usiku na pia tarehe 31/1/2017 tena kanisaliti muda kuanzia saa 3 usiku kalala kwa hyo jamaa imeniumiza cn nikifikilia kwa ss tulipo hiki kitu kinatokea naumia naenda kazini sio mimi nimejaribu kutaka kuchukua maamuzi mazito moyo unasita najaribu kuuliza watu kupitia indirect way wanajb hinatakiwa kuwa na subira na kuwa na uvumilivu cn ila inauma cn.
Wanandungu naombeni ushauri nifanyeje kuhusiana na hili swala kwn nikiwa pekeyangu nawaza cn inanibidi nijichanganye kupiga story kwa sana ili nijisaulishe lakn jaman naomba ushauri nifanyeje samahanini kama nitakuwa nimewahudhi mnisamehe.
Ni mm mwajamii mwenzenu.
Sasa hivi ajira ni ngumu; kama wewe mwanaume una ajira oa mwanamke ambaye hajaariwa ili iwe rahisi kulea watoto ukizingatia tena siku hizi wadada wa kazi hakuna. Huyo unamwita mke mtajariwa kama ameajiriwa mwache aolewe na mtu ambaye hajaaririwa itakuwa rahisi hata mumeo kuwapeleka watoto shule wakati mwanamke anawahi kazini
 
Back
Top Bottom